-
Majenerali wa Kijeshi Sudan wadai hawafuati sera za al Bashir
Jun 30, 2019 11:07Naibu wa Mkuu wa Baraza la Kijeshi la Sudan amedai kuwa baraza hilo si muendelezo wa serikali ya Field Marshal Omar al Bashir aliyepinduliwa na jeshi mwezi Aprili mwaka huu baada ya kushadidi maandamano ya wananchi.
-
Baraza la Kijeshi Sudan lawaonya wapinzani kuhusu maandamano ya leo Jumapili
Jun 29, 2019 23:44Baraza la Kijeshi la Mpito la Sudan linaloongoza nchi hiyo limeonya kuwa muungano wa wapinzanio na wafanya maandamano watabeba dhima ya hasara au vifo vitakavyotoea kufuatia maandamano waliyopangwa kufanyika leo Jumapili.
-
Wapinzani Sudan: Baraza la Kijeshi la Mpito linahusika na ukatili dhidi ya waandamanaji
Jun 29, 2019 12:41Muungano wa wapinzani nchini Sudan unaojulikana kwa jina la Harakati ya Uhuru na Mabadiliko umetangaza kuwa Baraza la Kijeshi la Uongozi wa Mpito la nchi hiyo linahusika na ghasia na ukatili uliofanywa dhidi ya waandamanaji.
-
Baraza la kijeshi la mpito Sudan: Hakuna wafungwa wa kisiasa nchini humo
Jun 25, 2019 08:25Naibu Mkuu wa Baraza la Kijeshi la Mpito la Sudan amedai kuwa hakuna mfungwa yoyote wa kisiasa aliyeko hivi sasa katika jela za nchi hiyo.
-
UN yalitaka jeshi la Sudan liache kukandamiza wananchi
Jun 24, 2019 22:47Kamishna Mkuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa amewataka wanajeshi wa Sudan waache mara moja kuwakandamiza raia.
-
Mamluki wa Sudan waendelea kuwepo katika vita vya Saudi Arabia huko Yemen
Jun 24, 2019 21:58Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan ambao ulianza baada ya wananchi kufanya maandamano ya kila siku ya kulalamikia hali mbaya ya uchumi na kuongezeka umaskini, ungali unaendelea licha ya kuondolewa madarakani aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Omar al Bashir.
-
Wimbi la tatu la mapinduzi na maandamano laanza Sudan
Jun 19, 2019 22:16Muungano kwa jina la "Uhuru na Mabadiliko" unaolipinga Baraza la Kijeshi la Mpito linaloongoza Sudan umetangaza kuanza wimbi la tatu la mapinduzi na kurejea maandamano ya kila wiki nchini humo.
-
Kwa mara nyingine tena, Wasudan wailaani Imarati kwa kuingilia mambo yao ya ndani
Jun 19, 2019 07:59Jumuiya ya Wafanyakazi nchini Sudan ambayo ni ya wapinzani, imeulaani Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kuingilia masuala yao ya ndani na kumtaka balozi wa nchi hiyo mjini Khartoum akomeshe mara moja tabia yake hiyo.
-
Arab League yapinga uingiliaji wa nchi ajinabi katika mgogoro wa Sudan
Jun 17, 2019 21:58Akiwa ziarani nchini Sudan Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amesisitiza kuwa mgogoro wa Sudan unapasa kupatiwa ufumbuzi bila ya uingiliaji wa nchi yoyote ajinabi.
-
Nafasi haribifu ya Saudia na Imarati katika kuzidisha mgogoro wa Sudan
Jun 17, 2019 07:04Mgogoro wa kisiasa wa Sudan umeshika mkondo mpya hususan baada ya mauaji ya raia zaidi ya mia moja waliokuwa wamekusanyika mbele ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo mjini Khartoum mapema mwezi huu.