-
Bashir aonekana hadharani mara ya kwanza baada ya kupinduliwa, ashitakiwa kwa ufisadi
Jun 17, 2019 03:31Aliyekuwa Rais wa Sudan, Omar Hassan al-Bashir ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu aondolewe madarakani Aprili 11 mwaka huu.
-
Majenerali wa kijeshi Sudan wakataa uchunguzi wa kimataifa
Jun 15, 2019 21:48Baraza la Kijeshi la Sudan limepinga kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusu mauaji ya umati yaliyofanywa dhidi ya raia waliokuwa wanafanya mgomo wa kukaa kitako mbele ya Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo mjini Khartoum.
-
Wapinzani nchini Sudan wataka kufanyike uchunguzi wa kimataifa wa mauaji ya waandamanaji
Jun 14, 2019 23:52Muungano wa wapinzani nchini Sudan umesisitiza tena udharura wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusu hujuma ya jeshi la nchi hiyo dhidi ya waandamanaji ambayo imesema ni jinai dhidi ya taifa ambayo inahitajia uchunguzi usiopendelea upande wowote na wa wazi.
-
UN: Idadi ya waliouawa Darfur nchini Sudan ni watu 17
Jun 13, 2019 21:58Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa kwa akali watu 17 wameuawa katika kijiji cha Deleij katikati mwa jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Mauaji Sudan yanaendelea, 11 wauawa 20 wajeruhiwa Darfur
Jun 12, 2019 21:53Kamati Kuu ya Madaktari wa Sudan imetangaza habari ya kuuawa watu 11 na kujeruhiwa wengine 20 katika machafuko yaliyotokea kwenye eneo la al Dalij la jimbo la Darfur, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Umoja wa Mataifa walaani Jeshi la Sudan kwa kuua raia
Jun 12, 2019 09:14Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limelilaani jeshi la Sudan kwa kuwaua waandamanaji zaidi ya 100 katika machafuko yanayoendelea nchini humo.
-
Mgogoro wa Sudan: Kushadidi kwa uingiliaji kati wa nchi za kigeni na uasi wa kiraia
Jun 11, 2019 08:10Mgororo wa Sudan umeshika mkondo mpana zaidi na vyama vya kisiasa vimeapa kuendeleza mgomo na uasi wa kiraia hadi pale wanajeshi wanaotawala nchi hiyo watakapokabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia.
-
Wapinzani Sudan kuwateua watu 8 kuongoza Baraza la Mpito
Jun 11, 2019 03:49Makundi ya upinzani yanayoongoza maandamano na uasi wa kiraia nchini Sudan yanapanga kuteua watu wanane katika Baraza la Mpito, huku yakimteua mchumi mashuhuri nchini kuwa kiongozi wa serikali hiyo ya muda.
-
Watu kadhaa wauawa katika kampeni ya uasi wa kiraia Sudan
Jun 10, 2019 03:17Kwa akali watu wanne wameripotiwa kuuawa na maafisa usalama katika kampeni ya uasi wa kiraia wa nchi nzima iliyoanza jana Jumapili nchini Sudan.
-
Uchochezi wa Saudi Arabia na Imarati katika mgogoro wa Sudan
Jun 09, 2019 02:50Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan ulishadidi Juni 3 baada ya wanajeshi kuwashambulia waandamanaji waliokuwa wamekusanyija nje ya makao makuu ya jeshi ambapo raia zaidi ya 100 waliuawa katika vurumai hiyo.