-
Mpango wa kutumwa kundi la kwanza la wanajeshi wa kieneo wa UN Sudan Kusini
Mar 25, 2017 08:54Herve Ladsous Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayesimamia oparesheni za kulinda amani ametangaza kuwa kundi la kwanza la kikosi cha wanajeshi wa kieneo walio chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa watakuwa wamewasilii Sudan Kusini hadi mwishoni mwa mwezi Aprili na mwanzoni mwa Mei kufuatia kuvurugika hali ya kisiasa na kibinadamu nchini humo.
-
Kikosi cha kijeshi cha UN kuingia Sudan Kusini
Mar 25, 2017 03:07Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa wanatazamiwa kuingia Sudan Kusini katika kipindi cha chini ya mwezi moja.
-
Maafisa wa kulinda amani wa Rwanda kuanza kuwasili Sudan Kusini kesho
Mar 24, 2017 02:56Jeshi la Polisi la Rwanda limetuma suhula na zana za kivita mjini Juba, zitakazotumiwa na kikosi kipya cha maafisa wake wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.
-
UN yataka kuongezwa juhudi za kutatua mgogoro wa Sudan Kusini
Mar 23, 2017 03:11Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuongezwa juhudi za kuutatua mgogoro wa Sudan Kusini na kusisitiza kuwa mazungumzo ya kisiasa ndiyo njia pekee ya kumaliza machafuko nchini humo.
-
Ndege ya abiria yaanguka ikiwa na watu 45 Sudan Kusini
Mar 20, 2017 14:48Ripoti kutoka Sudan Kusini zinasema ndege moja ya abiria iliyokuwa na wasafiri 40 na wahudumu 5 imeanguka katika uwanja wa ndege wa Wau.
-
UNHCR yatahadharisha kuhusu janga la wakimbizi wa Sudan Kusini
Mar 19, 2017 00:37Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema limeshtushwa na idadi kubwa ya raia wa Sudan Kusini wanaokimbia makaazi yao na kuelekea nchi jirani au kuwa wakimbizi ndani ya nchi.
-
Serikali Sudan Kusini yalaumiwa kwa kusababisha baa la njaa
Mar 17, 2017 10:06Serikali ya Sudan Kusini ndiyo inayobeba lawama kubwa kwa baa la njaa linaloshuhudiwa katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo iliyoharibiwa na vita.
-
UN: Serikali ya Sudan Kusini ya kulaumiwa kwa baa la njaa; ingali inanunua silaha
Mar 17, 2017 04:09Serikali ya Sudan Kusini ndiyo inayobeba lawama kubwa kwa baa la njaa linaloshuhudiwa katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo iliyoharibiwa na vita huku Rais wa nchi hiyo Salva Kiir akiendelea kutumia mamilioni ya dola zinazotokana na mauzo ya mafuta kuimarisha vikosi vyake vya ulinzi.
-
Maafisa wa misaada ya kibinadamu washambuliwa Sudan Kusini
Mar 17, 2017 00:26Kundi moja la watu wenye silaha limeshambulia msafara wa maafisa wa kutoa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Kusini.
-
Sudan Kusini: Marekani inachochea machafuko kwa kuwafadhili waasi nchini mwetu
Mar 16, 2017 11:04Serikali ya Juba imeituhumu Marekani kuwa inachochea machafuko na mapigano nchini humo, kwa kuyaunga mkono na kuyafadhili magenge ya waasi.