Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Baraza la Usalama lataka kikao cha Astana kwa ajili ya Syria kiendelee

    Baraza la Usalama lataka kikao cha Astana kwa ajili ya Syria kiendelee

    Mar 11, 2017 03:43

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kuyatambua na kuyaunga mkono mazungumzo ya Astana kwa ajili ya kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa Syria huku likitoa mwito wa kuendelea mazungumzo hayo.

  • Maelfu ya Wasyria wamekuwa wakimbizi kaskazini mwa nchi

    Maelfu ya Wasyria wamekuwa wakimbizi kaskazini mwa nchi

    Mar 05, 2017 11:53

    Shirika la Kuratibu Misaada ya Kibinadamu la Umoja wa Mataifa (OCHA) limeripoti kuwa maelfu ya raia wa Syria wamekuwa wakimbizi katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Russia: Tunapinga pendekezo lolote la kutaka kuiondoa madarakani serikali ya Syria

    Russia: Tunapinga pendekezo lolote la kutaka kuiondoa madarakani serikali ya Syria

    Mar 05, 2017 00:23

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, njama za baadhi ya nchi zenye lengo kupatikana mabadiliko katika suala la mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Syria kupitia mabadiliko katika muundo wa serikali ya Damascus, ni suala lisilokubalika.

  • UN: Mazungumzo juu ya Syria huko Geneva, yametoa ajenda iliyo wazi

    UN: Mazungumzo juu ya Syria huko Geneva, yametoa ajenda iliyo wazi

    Mar 04, 2017 03:56

    Umoja wa Mataifa umepongeza duru ya hivi punde ya mazungumzo ya amani ya Syria iliyomalizika jana Ijumaa mjini Geneva nchini Uswisi.

  • Abdollahian: Kukombolewa mji wa Palmyra ni ishara kuwa magaidi wamefikia mwisho wao

    Abdollahian: Kukombolewa mji wa Palmyra ni ishara kuwa magaidi wamefikia mwisho wao

    Mar 03, 2017 04:09

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu nchini Iran (Bunge) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, kukombolewa kikamilifu mji wa kihistoria wa Palmyra katika mkoa wa Homs, magharibi mwa Syria, ni ishara ya wazi kwamba magaidi wamefikia mstari wa mwisho wa uhai wao.

  • Al-Sisi: Misri inapongeza juhudi za jeshi la Syria katika kuwatokomeza magaidi

    Al-Sisi: Misri inapongeza juhudi za jeshi la Syria katika kuwatokomeza magaidi

    Mar 03, 2017 00:40

    Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amesema kuwa, sambamba na nchi yake kufungamana na misingi ya kutoingilia masuala ya ndani ya Syria, pia inaunga mkono juhudi za jeshi la nchi hiyo katika kuwatokomeza magaidi.

  • VIDEO: Wanajeshi wa Syria waingia katika mji wa Palmyra baada ya kuwafurusha magaidi

    VIDEO: Wanajeshi wa Syria waingia katika mji wa Palmyra baada ya kuwafurusha magaidi

    Mar 02, 2017 14:56

    Jeshi la Syria limetangaza rasmi kuwa limeukomboa mji wa Tadmur (Palmyra) kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh baada ya kuwafurusha magaidi hao.

  • Magaidi wafurushwa tena katika mji wa kihistoria wa Tadmur nchini Syria

    Magaidi wafurushwa tena katika mji wa kihistoria wa Tadmur nchini Syria

    Mar 02, 2017 11:01

    Kundi linalojiita la Wafuatiliaji wa Haki za Binadamu nchini Syria lenye makao yake mjini London Uingereza na ambalo lina mfungamano wa karibu na magenge ya kigaidi nchini Syria limetangaza kuwa, magaidi wa Daesh wamekimbia kutoka maeneo mengi ya mji wa kihistoria wa Tadmur (Palmyra) mkoani Homs.

  • Kugonga mwamba njama za Magharibi dhidi ya Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Kugonga mwamba njama za Magharibi dhidi ya Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Mar 02, 2017 10:52

    Kura ya veto iliyotumiwa na Russia na China dhidi ya rasimu ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imegonga vichwa vikuu vya habari katika nchi mbalimbali duniani.

  • Iraq: Tumeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh

    Iraq: Tumeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh

    Mar 02, 2017 04:44

    Serikali ya Iraq imetangaza kuwa, imeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh na kwamba, vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vinaendelea vizuri na operesheni zake dhidi ya wanamgambo hao wa kigaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS