Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Sisitizo la Iran la kuendelea kuiunga mkono Syria katika kupambana na ugaidi

    Sisitizo la Iran la kuendelea kuiunga mkono Syria katika kupambana na ugaidi

    Sep 28, 2016 09:24

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaitakidi kuwa kulindwa umoja, mshikamano na ardhi yote ya nchi zote za Mashariki ya Kati ikiwemo Syria ni suala la msingi. Aidha ni jukumu lake kutoa msaada katika kupambana na ugaidi na kurejesha amani na usalama nchini Syria na kwamba kubadilishwa mipaka ya nchi hiyo hakuwezi kamwe kuwa na maslahi kwa eneo hili.

  • Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni

    Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni

    Sep 27, 2016 10:38

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Russia yakosoa vikali matamshi ya Marekani na Magharibi katika Umoja wa Mataifa

    Russia yakosoa vikali matamshi ya Marekani na Magharibi katika Umoja wa Mataifa

    Sep 26, 2016 11:02

    Russia imekosoa matamshi yaliyotolewa na Mabalozi wa Marekani, Uingereza na Ufaransa katika Umoja wa Mataifa kwa mashambulizi ya jeshi la Russia katika ngome za makundi ya kigaidi huko Syria.

  • Madola ya Magharibi yanatumia vibaya hali ya kibinadamu Syria

    Madola ya Magharibi yanatumia vibaya hali ya kibinadamu Syria

    Sep 25, 2016 04:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Walid al-Muallem amekosoa baadhi ya madola ya Magharibi na Mashariki ya Kati kwa kutumia vibaya masaibu ya kibinadamu ya Wasyria kufikia malengo yao ya kisiasa.

  • Obama ampigia magoti Rais Assad, kufuatia shambulio la ndege za US huko Syria

    Obama ampigia magoti Rais Assad, kufuatia shambulio la ndege za US huko Syria

    Sep 24, 2016 11:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, Rais Barack Obama wa Marekani amemuomba radhi Rais Bashar al-Assad wa Syria kufuatia shambulio la ndege za nchi hiyo dhidi ya maeneo ya jeshi la Syria hivi karibuni.

  • Sputnik: Kitabu cha mwongozo wa magaidi wa Syria kimechapishwa nchini Uturuki

    Sputnik: Kitabu cha mwongozo wa magaidi wa Syria kimechapishwa nchini Uturuki

    Sep 24, 2016 04:40

    Vikosi vya jeshi la Syria vimenasa nakala ya kitabu kilichochapishwa nchini Uturuki ambacho ndani yake kina maelezo ya utoaji mafunzo kwa magaidi kuhusu jinsi ya kutumia silaha za nyuklia.

  • Rais Assad: Marekani inayatumia makundi ya Daesh na Jab'hatu Nusrah kufikia malengo yake

    Rais Assad: Marekani inayatumia makundi ya Daesh na Jab'hatu Nusrah kufikia malengo yake

    Sep 22, 2016 11:05

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, Marekani inayatumia makundi ya kigaidi ya Daesh (ISIS) na Jab'hatu Nusrah kufikia malengo yake na kwamba Washington haina nia yoyote ya kuyasambaratisha makundi hayo.

  • UN yataka msaada wa Iran kuhusu migogoro ya Syria, Yemen

    UN yataka msaada wa Iran kuhusu migogoro ya Syria, Yemen

    Sep 22, 2016 00:55

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametaka msaada wa Iran katika kutafutia suluhisho la kudumu migogoro inayotokota Syria na Yemen.

  • Assad akosoa

    Assad akosoa "uchokozi wa kifedhuli wa Marekani" dhidi ya ngome za jeshi la Syria

    Sep 19, 2016 22:16

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema shambulio la ndege za kivita za muungano unaoongozwa na Marekani dhidi ya ngome za jeshi la nchi hiyo ya Kiarabu ni "uchokozi wa kifedhuli".

  • Russia: Shambulio dhidi ya vikosi vya Syria linahatarisha makubaliano ya usitishaji vita

    Russia: Shambulio dhidi ya vikosi vya Syria linahatarisha makubaliano ya usitishaji vita

    Sep 18, 2016 09:54

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imeonya kuwa shambulio la muungano unaoongozwa na Marekani dhidi ya vikosi vya jeshi la Syria linahatarisha makubaliano ya usitishaji vita katika nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS