-
Salami: Habari ya kutumwa askari wa Saudia nchini Syria ni utani wa kisiasa
Feb 07, 2016 04:30Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) amesema habari ya uwezekano wa Saudi Arabia kutuma majeshi ya nchi kavu nchini Syria ni kichekesho na utani wa kisiasa.
-
Al- Muallem: Watakaoivamia Syria watarejeshwa makwao wakiwa kwenye majeneza
Feb 06, 2016 11:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid al-Muallem amesema watakaoivamia ardhi ya Syria watarejeshwa makwao wakiwa kwenye majeneza.
-
Bahrain nayo yasema iko tayari kutuma askari Syria
Feb 06, 2016 04:22Utawala wa Aal-Khalifa umesema Bahrain iko tayari kutuma askari wake wa nchi kavu nchini Syria, eti kupambana na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran mjini London
Feb 04, 2016 08:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif leo yuko mjini London, kufuatia mwaliko rasmi wa mwenzake wa Uingereza Phillip Hammond, kushiriki katika kikao cha kimataifa cha kuisaidia Syria na Mashariki ya Kati.
-
Zarif asisitiza umuhimu wa kuzingatia kadhia ya wakimbizi wa Syria
Feb 04, 2016 03:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametaka kuzingatiwa kadhia ya wakimbizi wa Syria na hali ngumu ya kibinadamu nchini humo.
-
Lavrov: Mashambulizi ya anga Syria yataendelea hadi kushindwa kikamilifu magaidi
Feb 03, 2016 23:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa Moscow itaendeleza mashambulizi yake ya anga huko Syria hadi pale makundi ya kigaidi yatakaposhindwa kikamilifu.