-
Katibu Mkuu wa UN: Wasyria 9 kati ya 10 wanaishi kwenye umasikini
Mar 31, 2021 02:06Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa wafadhili kusaidia kushughulikia mahitaji yanayoongezeka na kuongeza ahadi za kifedha na kibinadamu kuwasaidia Wasyria na kupunguza mzigo mkubwa wa kifedha wa nchi ambazo zinahifadhi wakimbizi.
-
Russia: Marekani ingali inaiba mafuta na ngano ya Syria
Mar 30, 2021 22:33Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inaendelea kuiba na kutorosha mafuta na ngano ya Syria.
-
Takht-Ravanchi: Vikwazo vinazidisha mgogoro wa Syria
Mar 30, 2021 03:38Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa, vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Syria ni hatua yenye madhara na inayozidisha tu mgogoro wa nchi hiyo na kuwazidishia maumivu wananchi wa nchi hiyo ambayo wanataabika na matatizo mengine mbalimbali kama janga la maambukizi ya corona.
-
Wanajeshi vamizi wa Marekani wanapora ngano ya Syria
Mar 28, 2021 06:33Wanajeshi vamizi wa Marekani wamepora malori 38 ya ngano ya Syria iliyokuwa katika maghala huko Tal Alou katika mkoa wa Hasaka kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa huko Halab Syria katika mashambulizi ya magaidi wanaoungwa mkono na Uturuki
Mar 22, 2021 03:48Makumi ya watu wameuawa na wengine kujeruhiwa katika mashambulizi ya makombora yaliyofanywa akatika baadhi ya maeneo ya mji wa Halab huko Syria na magaidi wenye silaha wanaongwa mkono na Uturuki.
-
Jeshi la Syria lazima tena shambulio la makombora la Israel
Mar 17, 2021 04:00Kwa mara nyingine tena, Jeshi la anga la Syria limekabiliana na shambulizi la makombora la utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Rif Dimashq, viungani mwa mji mkuu Damascus usiku wa kuamkia leo.
-
Iran: Marekani ni mvamizi Syria, itoke haraka
Mar 15, 2021 23:45Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madola vamizi ikiwemo Marekani yanapaswa kutoka katika ardhi ya Syria na hiyo ndiyo njia pekee ya kukomesha mapigano nchini humo na kutatuliwa kwa njia za amani mgogoro wa nchi hiyo.
-
Syria: Muongo mmoja baada ya kuanza vita vya kimataifa vya kigaidi
Mar 15, 2021 07:56Umetimia muongo mmoja tokea vianze vita baina ya serikali ya Syria na makundi ya kigaidi. Swali muhimu ambalo linaibuka hapa ni hili, je ni kwa nini vita hivi vilianza na vimekuwa na matokeo gani baada ya kupita miaka 10.
-
Syria yakanusha madai ya kufanya mazungumzo ya siri na Israel
Mar 14, 2021 04:24Syria imekanusha vikali ripoti zinazodai kuwa maafisa wa ngazi za juu wa nchi hiyo ya Kiarabu wanafanya mazungumzo ya siri na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
UAE : Vikwazo vya Marekani vinatatiza Syria kurudi katika Arab League
Mar 09, 2021 23:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ametoa mwito wa kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).