-
Kabila la Akidat la nchini Syria laanzisha muqawama dhidi ya vikosi vya Marekani na wanamgambo wa SDF
Aug 10, 2020 20:58Kabila la Akidat katika mkoa wa Deir- ez Zor nchini Syria limeanzisha muqawama wa wananchi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na waitifaki wao.
-
Balozi wa Syria Tehran: Uchokozi wa Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran ni ugaidi
Jul 25, 2020 22:11Balozi wa Syria mjini Tehran amesema, uchokozi wa ndege za kivita za Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran katika anga ya Syria ni nembo na dhihirisho la ugaidi wa Marekani dhidi ya raia wakiwemo wanawake na watoto.
-
UN yasisitiza kuchungwa usalama wa ndege za abiria kufuatia chokochoko za ndege za kivita za Marekani
Jul 25, 2020 03:45Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, usalama wa safari za ndege za abiria inapasa uheshimiwe na nchi zote.
-
Ufunguo wa kutatua mgogoro wa Syria ni kulindwa mamlaka ya kujitawala na wananchi kuwa na nafasi katika utawala
Jul 24, 2020 08:54Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kulindwa mamlaka ya kujitawala, mipaka na uhuru wa kisiasa Syria ni mambo ya dharura na pia wanajeshi wote wa kigeni walioko Syria wanapaswa kuondoka katika ardhi ya nchi hiyo mara moja.
-
Vielelezo muhimu vya Uchaguzi wa Bunge nchini Syria
Jul 21, 2020 01:24Tarehe 19 Julai, wananchi wa maeneo tofauti ya Syria walijitokeza kwenye maeneo ya kupigia kura kwa ajili ya kushiriki katika Uchaguzi wa Bunge.
-
Walid al Muallim: Uchaguzi wa Bunge ni ushindi mwingine kwa taifa la Syria
Jul 19, 2020 19:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa uchaguzi wa Bunge uliofanyika jana Jumapili nchini humo ni ushindi mwingine kwa taifa hilo na utakuwa ni sababu ya kupungua uingilaji wa kigeni kama ambavyo utatia kasi pia mchakato wa kuijenga upya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Deutsche Welle: Sera za Marekani na nchi za Magharibi nchini Syria zimeshindwa kikamilifu
Jul 17, 2020 10:12Tovuti ya habari ya shirika la habari la Ujerumani Deutsche Welle DW imesisitiza kuwa, sera za Marekani na nchi za Ulaya huko Syria zimegonga mwamba na kushindwa kikamilifu.
-
Jumatano tarehe 15 Julai 2020
Jul 14, 2020 22:22Leo ni Jumatano tarehe 23 Dhulqaada 1441 Hijria inayosadifiana na Julai 15 mwaka 2020.
-
Russia: Misaada ya kibinadamu nchini Syria haipaswi kuwekewa masharti ya kisiasa
Jul 14, 2020 06:41Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Syria haipaswi kuhusishwa na masuala ya kisiasa na kuzusha wasiwasi kwa baadhi ya watu.
-
Algeria yakosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria
Jul 12, 2020 23:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria amekosoa misimamo ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na Libya na Syria.