-
Brigedia Jenerali Hatami: Mustakabali wa uwepo wa washauri wa Iran nchini Syria utatokana na matakwa ya pande mbili
Aug 26, 2018 10:22Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uwepo wa washauri wa Kiirani nchini Syria ambao umefanyika kwa ombi la serikali ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa mustakabali wa kuwepo washauri wa Iran nchini Syria utategemea irada na matakwa ya viongozi wa nchi mbili.
-
Russia yaionya Marekani kuhusiana na chokochoko ya aina yoyote nchini Syria
Aug 25, 2018 09:53Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia imeionya Marekani kuhusiana na chokochoko ya aina yoyote ile nchini Syria.
-
Russia: Iran iko kihalali nchini Syria na sisi tunaliheshimu hilo
Aug 24, 2018 21:50Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Ryabkov amesema kuwa nchi yake inaheshimu uwepo wa Iran nchini Syria kwani iko huko kihalali na kwa mwaliko wa serikali halali ya nchi hiyo.
-
Njama mpya za magaidi wa Syria za kupeleka gesi ya sumu katika mkoa wa Idlib
Aug 24, 2018 21:50Genge la watu wanaovaa kofia nyeupe ambalo lina mfungamano na mashirika ya kijasusi ya Uingereza na Marekani limefanya njama mpya dhidi ya Syria kwa kupeleka shehena ya gesi ya sumu aina chlorine katika mji wa Jisr al-Shughur mkoani Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Damascus yagundua hospitali ya Israel waliyojengewa magaidi kusini mwa Syria
Aug 23, 2018 10:36Jeshi la Syria limegundua hospitali moja ya jangwani iliyokuwa inatumiwa na genge la kigaidi la Jabhat Fat'h al Sham ambalo zamani likuwa likijulikana kwa jina la Jab'hat al Nusra. Hospitali hiyo ambayo imejaa dawa na vifaa vilivyotengezwa Israel imegunduliwa katika mkoa wa Quneitra uliokombolewa hivi karibuni kusini mwa Syria.
-
Wizara ya Ulinzi ya Russia: Zaidi ya asilimia 96 ya ardhi ya Syria imekombolewa kutoka mikononi mwa magaidi
Aug 22, 2018 09:57Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa zaidi ya asilimia 96 ya ardhi ya Syria imesha kombolewa kutoka kwenye makucha ya magaidi.
-
Saudia imeupatia dola milioni 100 muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Marekani nchini Syria
Aug 17, 2018 10:57Duru za habari zimeeleza kuwa, utawala wa Kifalme wa Aal-Saudi nchini Saudi Arabia umeupatia kiasi cha Dola milioni 100 muungano wa kimataifa wa kijeshi wa eti kupambana Daesh unaoongozwa na Marekani nchini Syria.
-
Marekani yaendelea kukiuka haki ya kujitawala Syria, yataka kujenga uwanja wake wa kijeshi
Aug 16, 2018 08:47Habari kutoka Syria zimeripoti kwamba, askari vamizi wa Marekani wanakusudia kujenga uwanja wao wa kijeshi katika eneo la al-Shaddadi la jimbo la Al-Hasakah nchini humo.
-
Syria yafichua njama za watawala wa nchi za Kiarabu
Aug 14, 2018 03:14Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, Faisal Miqdad amesema kuwa, baadhi ya nchi za Kiarabu zimewapatia magaidi kiasi cha dola bilioni 137 kwa shabaha ya kuiharibu Syria.
-
Hasara ya dola bilioni 400 iliyosababishwa na magaidi nchini Syria
Aug 10, 2018 01:26Umoja wa Mataifa umesema kuwa, hasara iliyosababishwa na vita vya zaidi ya miaka saba sasa nchini Syria ni karibu dola bilioni 400.