-
Abdollahian: Kukombolewa miinuko ya Golan ya Syria ni jambo linalowezekana
Jul 29, 2018 03:30Mshauri maalumu wa Spika wa bunge la Iran katika masuala ya kimataifa amesema: kukombolewa miinuko ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu kunawezekana kwa juhudi za wananchi wa Syria.
-
Kukombolewa mji wa Quneitra, dakika za mwisho za uhai wa makundi ya kigaidi Syria
Jul 28, 2018 01:58Juzi tarehe 26 Julai Jeshi la Syria na waitifaki wake liliingia katika mji wa Quneitra baada ya kukomboa mji huo kutoka kwenye makucha ya makundi ya kigaidi.
-
Mashauriano ya Lavrov na Merkel kuhusu Syria
Jul 25, 2018 22:33Tangu mwezi Disemba mwaka 2015 Russia ilituma majeshi katika nchi ya Syria kwa ajili ya kupambana na makundi ya kigaidi na vilevile kuisaidia serikali halali ya nchi hiyo.
-
Moscow: Operesheni za Marekani huko Syria ni kinyume cha sheria
Jul 25, 2018 09:17Wizara ya Ulinzi ya Russia imesisitiza kuwa wanajeshi wa Marekani hawana haki yoyote ya kisheria ya kuendesha oparesheni zaidi huko Syria.
-
Hizbullah: Ushirikiano wetu na Syria upo imara na utaendelea
Jul 25, 2018 08:34Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesisitiza kwamba, Syria iko katika kambi ya mapambano na muqawama na kwamba uhusiano wa harakati hiyo na serikali ya Damascus upo imara na utaendelea.
-
Askari wa Marekani waigeuza shule kuwa jela ya kuogofya nchini Syria
Jul 22, 2018 23:23Askari vamizi wa Marekani wamegeuza jengo la shule moja huko katika mji wa Raqqa kuwa jela ya kuogofya.
-
Nyaraka za ushahidi wa msaada wa silaha wa Saudia kwa magaidi nchini Syria
Jul 21, 2018 02:42Gazeti la Independent la Uingereza limechapisha nyaraka zinazoonyesha namna ambavyo Saudi Arabia imekuwa ikiwapatia silaha magaidi nchini Syria.
-
Jumamosi, 21 Julai, 2018
Jul 20, 2018 20:47Leo ni Jumamosi tarehe 7 Mfunguo Pili Dhul-Qaad 1439 Hijria mwafaka na tarehe 21 Julai 2018.
-
Balozi wa Russia mjini Tehran: Uwepo wa Iran nchini Syria ni wa kisheria
Jul 19, 2018 02:59Balozi wa Russia mjini Tehran, amesema kuwa uwepo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria ni wa kisheria na kwamba, kwa utashi wa Damascus, Iran itaendelea kuwepo nchini humo katika operesheni za kuwaangamiza magaidi.
-
Mashia waliozingirwa na magaidi wakufurishaji Syria kuokolewa
Jul 18, 2018 08:29Mabasi kadhaa yamefika katika miji ya Kefraya na al-Foua katika mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria kwa lengo la kuwahamisha Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji hiyo ambao kwa miaka kadhaa sasa wamezingirwa na magaidi wakufurishaji wanaopata himaya ya nchi za kigeni.