-
Shehena ya mabomu ya Israel yapatikana katika maficho ya ISIS, Syria
Jul 18, 2018 03:09Jeshi la Syria limegundua shehena iliyojaa mabomu yaliyotengenezwa Israel katika mkoa wa Hama, magharibi mwa nchi; huku vikosi vya serikali vikizidi kupata mafanikio na kusonga mbele katika jitihada za kuyasafisha mabaki ya wanachama wa magenge ya kigaidi na ukufurishaji.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa malengo ya Marekani Syria
Jul 15, 2018 02:36Baada ya kuibuka machafuko ya ndani nchini Syria mwaka 2011, Marekani na waitifaki wake walianza kuunga mkono makundi ya kigaidi yaliyoibua ghasia kwa lengo la kuipundua serikali halali ya nchi hiyo.
-
Daraa Yakombolewa, Jeshi la Syria Lakaribia Kudhibiti Kikamilifu Eneo la Kusini
Jul 13, 2018 22:47Jeshi la Syria limetangaza kwamba mji wa Daraa ulioko kusini mwa nchi hiyo umekombolewa kikamilifu.
-
Velayati: Iran haiondoki Syria kwa vitisho vya Marekani
Jul 13, 2018 10:45Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amesisitiza kuwa Iran na Russia zitaendelea kuwepo huko Syria na kwamba Iran haitaondoka nchini humo kwa vitisho vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mashambulizi ya anga ya Marekani nchini Syria yaua 30 mjini Bukamal
Jul 13, 2018 03:07Kwa akali raia 30 wameuawa katika mashambulizi ya anga ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika mji wa Bukamal, mkoa wa Dayr al-Zawr mashariki mwa Syria.
-
Hadithi ya Uongofu (117)
Jul 11, 2018 08:40Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale yanapokufikieni matangazo haya hususan huko nyumbani Afrika Mashariki. Tunakutana tena katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu.
-
Assad: Syria yaanzisha mkakati wa ujenzi mpya baada ya magaidi kutimuliwa
Jul 10, 2018 09:17Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kipaumbele chake ni ujenzi mpya wa nchi hiyo baada ya kutimuliwa magaidi walioanzisah vita nchini humo mwaka 2011 kwa uungaji mkono wa kigeni.
-
Iran: Washauri wetu wa kijeshi kusalia Syria kuzima chokochoko za Israel
Jul 08, 2018 09:41Mshauri wa Masuala ya Kimataifa wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, washauri wa kijeshi wa Iran watasalia nchini Syria kuisaidia nchi hiyo ya Kiarabu kuzima chokochoko za mabaki ya magenge ya kigaidi yanayoungwa mkono na nchi ajinabi.
-
Russia yaitaka jamii ya kimataifa kutegua mabomu ya ardhini nchini Syria
Jul 08, 2018 03:36Russia imezitolea wito nchi mbalimbali ziisaidie Moscow kutegua mabomu ya ardhi katika maeneo yaliyokombolewa kutoka mikononi mwa magaidi huko Syria.
-
OPCW: Hakuna ushahidi wa kutekelezwa shambulizi la kemikali Douma, Syria
Jul 07, 2018 02:56Uchunguzi wa Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) umebainisha kwamba hakuna shambulizi lolote la silaha za kemikali lililofanyika katika mji wa Douma, ulioko katika viunga ya mji mkuu wa Syria, Damascus.