-
Korea Kaskazini yakosoa msaada wa silaha za Marekani kwa Taiwan
Aug 04, 2023 04:21Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuipa Taiwan msaada wa silaha wa mamilioni ya dola ikisisitiza kuwa, Washington inakitumia kisiwa hicho kinachojitawala kushadidisha taharuki na kuchochea moto wa vita katika eneo.
-
China yakosoa mauzo mapya ya silaha za Marekani kwa Taiwan
Jul 05, 2023 06:29China imekosoa vikali mpango mpya wa serikali ya Marekani wa kuiuzia Taiwan silaha zenye thamani ya mamilioni ya dola, ikisisitiza kuwa mauzo hayo yanakiuka kanuni ya "China Moja".
-
China yatuma meli na ndege zaidi za kivita karibu na Taiwan kwa siku ya pili baada ya mkutano wa Tsai-McCarthy
Apr 07, 2023 22:56Maafisa wa Taiwan walisema jana Ijumaa kwamba, China imetuma meli na ndege zaidi za kivita karibu na kisiwa hicho kwa siku ya pili, wakati mvutano ukiendelea kutokota kati ya Beijing na kisiwa hicho kinachojitawala kufuatia mkutano uliofanyika kati ya Rais Tsai Ing-wen wa kisiwa hicho na Spika wa Bunge la Marekani, Kevin McCarthy.
-
China yaonya, tutatoa jibu Rais wa Taiwan akikutana na Spika wa US
Mar 29, 2023 22:45China imeionya vikali Washington na kusisitiza kuwa itachukua 'hatua ya kujibu mapigo' iwapo Rais wa Taiwan, Tsai Ing-wen atakutana na Spika wa Kongresi ya Marekani, Kevin McCarthy katika safari yake inayotazamiwa kufanyika karibuni.
-
China yalalamikia safari za maafisa wa Ujerumani na Uingereza huko Taiwan
Mar 23, 2023 03:26Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya China imelalamikia vikali safari ya Bettina Stark-Wattsinger, Waziri wa Elimu wa Ujerumani katika Kisiwa cha Taiwan na kusisitiza kuwa inapinga safari rasmi ya waziri huyo katika kisiwa hicho kinachomilikiwa na serikali ya Beijing.
-
Jumatatu, Oktoba 10, 2022
Oct 09, 2022 22:43Leo ni Jumatatu tarehe 13 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na Oktoba 10 mwaka 2022 Milaadia.
-
Marekani yapiga ngoma ya vita kwa kuipa Taiwan 'msaada' wa kijeshi
Sep 15, 2022 23:32Bunge la Seneti la Marekani limepasisha muswada wa sheria inayotaka Taiwan kupewa msaada wa kijeshi wa mabilioni ya dola, hatua inayotazamiwa kuighadhabisha China.
-
Marekani kuiwekea vikwazo China ili 'kuzuia' kuvamiwa Taiwan
Sep 14, 2022 03:04Marekani imeripotiwa kuwa inatafakari kuiwekea China vikwazo ili kuzuia eti mashambulizi tarajiwa ya kijeshi ya Beijing dhidi ya kisiwa cha Taiwan.
-
Onyo la China kwa Canada kuhusu safari ya wabunge wake Taiwan
Aug 25, 2022 21:55China imeionya vikali Canada na kusisitiza kuwa itachukua hatua madhubuti na za nguvu iwapo wabunge wa Canada watafanya safari ya kuitembelea Taiwan karibuni hivi.
-
Kiwewe cha Marekani kwa kuzidi kuongezeka nguvu za China
Aug 19, 2022 22:11Marekani ambayo imeingia kiwewe kutokana na kuzidi kuongezeka nguvu za China, imeahidi kuchukua hatua za kukabiliana na Beijing katika kipindi cha wiki na miezi ijayo karibu na kisiwa cha Taiwan, kwa tamaa ya kupunguza kasi ya nguvu za kijeshi na kiuchumi za China.