Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Taiwan

  • China: Uhuru wa Taiwan maana yake ni vita

    China: Uhuru wa Taiwan maana yake ni vita

    Aug 18, 2022 23:34

    Balozi wa China mjini London ameonya kuwa, uingiliaji wa mambo unaofanywa na Uingereza na Marekani juu ya suala la Taiwan hautakuwa na matokeo mengine ghairi ya vita.

  • Bloomberg: China ina uwezo wa kuteketeza kwa muda mfupi ndege 900 za kivita za Marekani

    Bloomberg: China ina uwezo wa kuteketeza kwa muda mfupi ndege 900 za kivita za Marekani

    Aug 12, 2022 21:01

    Jarida la Bloomberg linalochapishwa Marekani limeandika kuwa, endapo vitazuka vita baina ya Marekani na China kwa sababu ya Taiwan, Wachina wataweza kwa muda mfupi kuziangamiza ndege za kivita 900 za Marekani, yaani nusu ya uwezo wote wa kikosi cha anga cha nchi hiyo.

  • Onyo la jeshi la China kwa chokochoko za Taiwan

    Onyo la jeshi la China kwa chokochoko za Taiwan

    Aug 12, 2022 02:06

    Jeshi la China limekionya kisiwa cha Taiwan dhidi ya kuendeleza chokochoko katika eneo hilo la kistratijia.

  • Taiwan yadai kuwa China inataka kuivamia kijeshi

    Taiwan yadai kuwa China inataka kuivamia kijeshi

    Aug 09, 2022 20:51

    Taipei imedai kuwa China inapanga njama ya kukivamia kisiwa cha Taiwan, baada ya Beijing kutangaza duru mpya ya mazoezi ya kijeshi katika maji ya kisiwa hicho, ukiwa ni muendelezo wa kujibu mapigo kwa ziara iliyofanywa na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, Nancy Pelosi katika kisiwa hicho hivi karibuni.

  • Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu kuunga mkono sera ya China Moja

    Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu kuunga mkono sera ya China Moja

    Aug 05, 2022 02:40

    Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Iran kwa sera ya "China Moja" na kusema: 'Hatua za kichochezi za Marekani zimekuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa kimataifa.'

  • China yafanya maneva ambayo hayajawahi kushuhudiwa karibu na Taiwan

    China yafanya maneva ambayo hayajawahi kushuhudiwa karibu na Taiwan

    Aug 04, 2022 06:19

    China imefyatua makombora kadhaa ya balestiki kuelekea maji yanayoizunguka Taiwan katika mazoezi makubwa ya kijeshi kuwahi kushuhudiwa, likiwa ni jibu kwa ziara iliyofanywa na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani Nancy Pelosi katika kisiwa hicho.

  • Radiamali ya Iran, China kwa safari ya Pelosi katika kisiwa cha Taiwan

    Radiamali ya Iran, China kwa safari ya Pelosi katika kisiwa cha Taiwan

    Aug 03, 2022 07:44

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa safari ya Nancy Pelosi, Spika wa Kongresi ya Marekani katika kisiwa cha Taiwan na kubainisha kuwa, ziara hiyo ni muendelezo wa mienendo ya kichokozi na kichokezi ya Washington.

  • Taiwan kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na US licha ya onyo la China

    Taiwan kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na US licha ya onyo la China

    Jul 29, 2022 23:14

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya eneo lenye mamlaka ya ndani la Taiwan imesisitiza kuwa Taipei itaimarisha uhusiano wa ushirikiano wake wa kijeshi na Marekani licha ya onyo kali lililotolewa hivi karibuni na Rais Xi Jinping wa China.

  • China na Taiwan kwenye mzingo wa mivutano iliyoibuliwa na Washington

    China na Taiwan kwenye mzingo wa mivutano iliyoibuliwa na Washington

    Jul 25, 2022 07:01

    Ziara iliyopangwa kufanywa na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani na misaada ya silaha Washington kwa Taiwan vimezidisha hali ya wasiwasi katika Bahari ya China.

  • Onyo la China kwa Marekani iwapo Spika Pelosi atazuru Taiwan

    Onyo la China kwa Marekani iwapo Spika Pelosi atazuru Taiwan

    Jul 19, 2022 21:49

    China imeionya vikali Washington na kusisitiza kuwa itachukua 'hatua za nguvu' iwapo Spika wa Kongresi ya Marekani Nancy Pelosi atafanya safari ya kuitembelea Taiwan mwezi ujao wa Agosti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS