Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Taliban

  • Marekani na tuhuma mpya za kuwepo uhusiano kati ya Russia na Taliban

    Marekani na tuhuma mpya za kuwepo uhusiano kati ya Russia na Taliban

    Jul 03, 2020 00:39

    Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi na kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa kutumia kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 yaliyolenga sehemu kadhaa ndani ya ardhi ya Marekani. Wakati rais wa Marekani Donald Trump alipokuwa katika kampeni za uchaguzi wa urais wa mwaka 2016 na hata baada ya kuingia ikulu ya White House aliahidi kuwa atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Afghanistan. Hata hivyo pamoja na ahadi hiyo, askari wengi wa jeshi la Marekani wangaliko katika ardhi ya Afghanistan.

  • Mazungumzo ya kundi la Taliban na wawakilishi wa Marekani na NATO

    Mazungumzo ya kundi la Taliban na wawakilishi wa Marekani na NATO

    Jun 10, 2020 12:46

    Mullah Baradar, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya kundi la Taliban ameonana na Zalmay Khalilzad, mwakilishi maalumu wa Marekani na Jenerali Austin Scott Miller, kamanda wa wanajeshi wa Marekani na NATO nchini Afghanistan. Mazungumzo hayo yamefanyika katika mji mkuu wa Qatar, Doha.

  • Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    Matamshi ya Rais wa Marekani kuhusu kufaidika Taliban na uwepo wa askari wa Marekani nchini humo

    May 20, 2020 06:52

    Rais wa Marekani amesema uwepo wa askari wa nchi yake huko Afghanistan ni kwa faida ya Taliban na hivyo kundi hilo halitaki askari wa Marekani waondoke.

  • Taliban yatishia kuendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya vikosi vya serikali ya Afghanistan

    Taliban yatishia kuendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya vikosi vya serikali ya Afghanistan

    May 15, 2020 07:24

    Msemaji wa kundi la Taliban ametishia kuwa, kundi hilo litaendeleza mashambulio ya kijeshi dhidi ya askari na taasisi za serikali ya Afghanistan.

  • Ombi la Rais Ashraf Ghani la kutaka Taleban washinikizwe ili wakubali kusitisha vita nchini Afghanistan

    Ombi la Rais Ashraf Ghani la kutaka Taleban washinikizwe ili wakubali kusitisha vita nchini Afghanistan

    May 08, 2020 09:26

    Katika kikao cha Kundi la Mawasiliano la Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM kilichofanyika kwa njia ya mawasiliano ya intaneti, Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan ameiomba jumuiya hiyo ilishinikize kundi la Taleban, likubali kusitisha vita nchini humo.

  • Kuwa tayari timu ya Uthabiti na Utangamano kwa ajili ya mazungumzo na Ashraf Ghani

    Kuwa tayari timu ya Uthabiti na Utangamano kwa ajili ya mazungumzo na Ashraf Ghani

    May 06, 2020 04:05

    Timu ya uchaguzi ya “Uthabiti na Utangamano” inayoongozwa na Abdulllah Abdullah imetangaza kuwa, iko tayari kufanya mazungumzo na Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afghanistan kwa shabaha ya kuzuia kupunguzwa misaada ya kimataifa na kuendesha vita dhidi ya ugaidi.

  • Onyo la Taliban dhidi ya kutoheshimu Marekani makubaliano ya amani

    Onyo la Taliban dhidi ya kutoheshimu Marekani makubaliano ya amani

    Apr 14, 2020 02:28

    Kundi la wanamgambo wa Taliban limeonya kuwa, kutoheshimu Marekani hati ya makubaliano ya amani ya Doha Qatar kutakuwa sababu ya kuendelea vita nchini Afghanistan na kwamba, Washington ndio itakayobeba dhima ya hilo.

  • Kutokuwa na irada wanamgambo wa Taliban kwa ajili ya amani nchini Afghanistan

    Kutokuwa na irada wanamgambo wa Taliban kwa ajili ya amani nchini Afghanistan

    Mar 17, 2020 12:44

    Baraza la Usalama wa Taifa nchini Afghanistan limetangaza kuwa, kundi la wanamgambo wa Taliban halina irada na azma ya kweli kwa ajili ya kupatikana amani na kudhaminiwa usalama katika nchi hiyo.

  • Agizo la kuachiliwa huru wafungwa wa kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan

    Agizo la kuachiliwa huru wafungwa wa kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan

    Mar 12, 2020 04:43

    Rais Muhammad Ashraf Ghani wa Afganistan ametoa amri ya kuachiliwa huru kutoka gerezani wafungwa ambao ni wanachama wa kundi la wanamgambo wa Taliban.

  • Taleban: Madai kwamba tunakusudia kuvunja makubaliano si ya kweli

    Taleban: Madai kwamba tunakusudia kuvunja makubaliano si ya kweli

    Mar 08, 2020 11:54

    Msemaji wa Ofisi ya Kisiasa ya Kundi la Taleban ametupilia mbali ripoti za vyombo vya habari kwamba kundi hilo linakusudia kutofungamana na makubaliano yake na Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS