Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Tume ya Uchaguzi Tanzania yamfungia Lissu kufanya kampeni

    Tume ya Uchaguzi Tanzania yamfungia Lissu kufanya kampeni

    Oct 02, 2020 14:26

    Kamati ya Maadili ya Kitaifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imemsimamisha mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, kufanya kampeni kwa muda wa siku saba, kwa madai ya kukiuka kanuni na taratibu za uchaguzi.

  • Magufuli asikitishwa na 'ajali' ya moto iliyoua wanafunzi 10 Tanzania

    Magufuli asikitishwa na 'ajali' ya moto iliyoua wanafunzi 10 Tanzania

    Sep 15, 2020 07:48

    Rais John Magufuli wa Tanzania ametuma salamu za rambirambi kwa uongozi wa Shule ya Kiislamu ya Byamungu iliyopo wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera kufuatia mkasa wa moto uliosababisha maafa. Rais Magufuli ametoa mkono wa pole kwa wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wa wanafunzi 10 waliopoteza maisha katika ajali hiyo ya usiku wa kuamkia jana.

  • Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania awasili Pemba kukabiliana na 'wachochezi'

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania awasili Pemba kukabiliana na 'wachochezi'

    Sep 04, 2020 07:03

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania Simon Sirro amewasili kisiwani Pemba, Zanzibar kwa ajili ya kile kilichotajwa kuwa kufanya vikao na vyama vya siasa na viongozi wa dini kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi ujao.

  • Msumbuji yachukua uwenyekiti wa SADC

    Msumbuji yachukua uwenyekiti wa SADC

    Aug 18, 2020 03:37

    Tanzania imekabidhi Msumbiji uwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika, SADC huku jumuiya hiyo ikiadhimisha miaka 40 tangu kuasisiwa kwake.

  • Zoezi la kupiga kura uchaguzi mkuu Zanzibar kufanyika siku mbili

    Zoezi la kupiga kura uchaguzi mkuu Zanzibar kufanyika siku mbili

    Aug 02, 2020 09:24

    Wananchi wa visiwa vya Zanzibar nchini Tanzania wanatarajiwa kupiga kura kwa siku mbili katika uchaguzi mkuu utakafanyika Oktoba mwaka huu.

  • Tanzania yazuia safari za Kenya Airways nchini humo

    Tanzania yazuia safari za Kenya Airways nchini humo

    Aug 01, 2020 04:03

    Tanzania imesimamisha shirika la ndege la Kenya (KQ) kufanya safari za kwenda Tanzania kuanzia leo tarehe Mosi Agosti, siku moja baada ya Kenya kutangaza kuwa itafungua anga zake kwa usafiri wa kimataifa isipokuwa kutoka baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania.

  • Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, anazikwa leo

    Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, anazikwa leo

    Jul 29, 2020 07:40

    Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa anazikwa leo katika kijiji alichozaliwa cha Lupaso katika Wilaya ya Masasi, mkoa wa Mtwara Kusini mwa nchi hiyo.

  • Lissu awasili Tanzania, apokewa na wafuasi na viongozi wa Chadema

    Lissu awasili Tanzania, apokewa na wafuasi na viongozi wa Chadema

    Jul 27, 2020 13:05

    Mwanasheria na mwanasiasa mashuhuri wa kambi ya upinzani nchini Tanzania Tundu Antipas Lissu amewasili nchini humo baada ya kuwa nje ya nchi kwa matibabu kwa zaidi ya miaka miwili, baada ya kunusurika kifo kwa shambulio la risasi akiwa Dodoma.

  • Majaliwa: Mwili wa Mkapa kuagwa Uwanja wa Taifa, Kenya yatuma salamu za rambirambi

    Majaliwa: Mwili wa Mkapa kuagwa Uwanja wa Taifa, Kenya yatuma salamu za rambirambi

    Jul 24, 2020 11:11

    Waziri Mkuu wa Tanzania ametangaza kuwa mwili wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Benjamin Mkapa aliyeaga dunia mapema leo, utaagwa Uwanja wa Taifa na kwamba siku ya kuuaga itatangazwa hapo baadaye.

  • Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa afariki dunia, serikali yatangaza siku saba za maombolezo

    Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa afariki dunia, serikali yatangaza siku saba za maombolezo

    Jul 24, 2020 03:03

    Rais mstaafu wa awamu ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin William Mkapa amefariki dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS