Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Watu sita wauawa Mtwara, Tanzania, Polisi waanzisha uchunguzi

    Watu sita wauawa Mtwara, Tanzania, Polisi waanzisha uchunguzi

    Nov 13, 2019 12:17

    Polisi nchini Tazania wameanzisha uchunguzi baada ya watu sita kuuawa katika kijiji cha Nongo, Wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtawara.

  • Chama cha CUF nacho chajitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania

    Chama cha CUF nacho chajitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini Tanzania

    Nov 12, 2019 09:51

    Habari kutoka Dar es Salaam nchini Tanzania zinasema kuwa Chama cha Wananchi (CUF) nchini humo hatimaye kimejitoa katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika Novemba 24 mwaka huu.

  •  EUROMONEY: Ustawi Tanzania utadorora kutokana na ukandamizaji wa kisiasa

    EUROMONEY: Ustawi Tanzania utadorora kutokana na ukandamizaji wa kisiasa

    Nov 06, 2019 04:21

    Jarida la Euromoney limesema Tanzania itakumbwa na matatizo ya kutekeleza mahitajio yake ya miundo msingi kutokana na hali ya kisiasa yenye kuibua changamoto.

  • Freeman Mbowe: Chadema tunaamini kwamba CCM imeshindwa kabisa kutekeleza ndoto za Watanzania

    Freeman Mbowe: Chadema tunaamini kwamba CCM imeshindwa kabisa kutekeleza ndoto za Watanzania

    Nov 05, 2019 11:38

    Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kuwa chama tawala CCM kimeshindwa kutekeleza ndoto za Watanzania za kuwajengea maisha bora na ustawi.

  • Profesa Assad: Nimesamehe kila kitu, lakini sikujua kama ningepata uadui nikiwa CAG

    Profesa Assad: Nimesamehe kila kitu, lakini sikujua kama ningepata uadui nikiwa CAG

    Nov 04, 2019 13:15

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) aliyemaliza muda wake,  Profesa Mussa Assad amesema kuwa, hakujua na wala hakuwahi kufikiri kama angeweza kutengeneza adui wakati wa utekelezaji wa majukumu yake akiwa katika ofisi hiyo.

  • Rais wa Tanzania amteua CAG mpya baada ya kipindi cha Prof. Assad kumalizika

    Rais wa Tanzania amteua CAG mpya baada ya kipindi cha Prof. Assad kumalizika

    Nov 03, 2019 09:45

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania leo amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na hivyo kuchukua nafasi ya Profesa Mussa Assad ambaye kipindi chake kinamalizika.

  • Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Nordic

    Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Nordic

    Nov 01, 2019 10:57

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Africa na Nordic unaotazamiwa kufanyika mjini Dar es Salaam tarehe 8 mwezi huu wa Novemba.

  • Mufti wa Tanzania: Katika Uislamu, mtoto wa kike akivunja ungo anaruhusiwa kuolewa

    Mufti wa Tanzania: Katika Uislamu, mtoto wa kike akivunja ungo anaruhusiwa kuolewa

    Oct 30, 2019 11:21

    Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir amesema, kwa dini ya Kiislamu, mtoto wa kike akivunja ungo anaruhusiwa kuolewa ikiwa atahitajika kufanya hivyo. Hata hivyo ameongeza kuwa, kwa maslahi ya elimu, mtoto huyo atapaswa kusubiri mpaka umri wa miaka 18 na kuendelea.

  • Kumbukumbu ya siku aliyofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW + Sauti

    Kumbukumbu ya siku aliyofariki dunia Bwana Mtume Muhammad SAW + Sauti

    Oct 28, 2019 01:47

    Katika kumbukumbu ya kifo cha Bwana Mtume Muhammad SAW nchini Tanzania, viongozi wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuweka mikakati imara ya kuwalingania vijana na sio kuwaona ni waasi waliopotoka. Amari Dachi na taarifa zaidi akiripoti kutoka Dar es Salaam.

  • Amnesty, HRW zaijia juu serikali ya Tanzania kwa kukiuka haki za binadamu

    Amnesty, HRW zaijia juu serikali ya Tanzania kwa kukiuka haki za binadamu

    Oct 28, 2019 08:58

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International na Human Rights Watch yameituhumu serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kuwa inakiuka haki za binadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS