Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Mvua na mafuriko yaendelea kuua na kusababisha hasara nchini Tanzania

    Mvua na mafuriko yaendelea kuua na kusababisha hasara nchini Tanzania

    Oct 26, 2019 08:38

    Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Tanzania zimeendelea kusababisha maafa na hasara kubwa nchini humo.

  • SAUTI, Mahakama ya Tanzania yapigilia msumari sheria ya ndoa ya utotoni, yataka binti aliye chini ya miaka 18 asiolewe

    SAUTI, Mahakama ya Tanzania yapigilia msumari sheria ya ndoa ya utotoni, yataka binti aliye chini ya miaka 18 asiolewe

    Oct 24, 2019 13:47

    Mahkama ya Rufaa nchini Tanzania imeitaka serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kubadili vifungu vya sharia ya ndoa vinavyomruhusu mtoto wa kike kuolewa chini ya miaka 18 kwa lengo la kutoa usawa baina ya mtoto wakike na wakiume.

  • Karibu watu 30 waaga dunia kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Tanzania

    Karibu watu 30 waaga dunia kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Tanzania

    Oct 17, 2019 10:23

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema, idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini humo imeongezeka na kufikia watu 29 kutoka 11.

  • Jumatatu tarehe 14 Oktoba 2019

    Jumatatu tarehe 14 Oktoba 2019

    Oct 13, 2019 23:08

    leo ni Jumatatu tarehe 15 Safar 1441 Hijria sawa na Oktoba 14 mwaka 2019.

  • Ripoti ya upotoshaji ya BBC kuhusu matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yakosolewa vikali + Sauti

    Ripoti ya upotoshaji ya BBC kuhusu matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yakosolewa vikali + Sauti

    Oct 10, 2019 12:06

    Baada ya shirika la utangazaji la utawala wa kifalme wa Uingereza BBC kusambaza mkanda wa video uliojaa chuki na upotoshaji dhidi ya Waislamu hasa wa Kishia na dhidi ya matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS, banda hilo la propaganda la ufalme wa Uingereza limekumbwa na ukosoaji mkali. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania

  • Waislamu Tanzania wajiandaa kufanya Maulidi ya Mtume Muhammad SAW kwa hamasa kubwa zaidi mwaka huu + Sauti

    Waislamu Tanzania wajiandaa kufanya Maulidi ya Mtume Muhammad SAW kwa hamasa kubwa zaidi mwaka huu + Sauti

    Oct 07, 2019 06:03

    Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) wametoa ufafanuzi kuhusu maandalizi ya Maulidi ya Kitaifa yanavyoendelea jijini Mwanza na wamejipanga kufanya shughuli mbalimbali za kijamii kuelekea maadhimisho hayo ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW. Ammar Dachi na taarifa zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Marais wa Tanzania na Zambia wafungua kituo muhimu cha mpakani

    Marais wa Tanzania na Zambia wafungua kituo muhimu cha mpakani

    Oct 05, 2019 10:36

    Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania na mwenzake Edgar Lungu wa Zambia leo Jumamosi wamefungua kituo muhimu cha huduma za pamoja katika mpaka wa nchi hizo mbili kilichoko Tunduma upande wa Tanzania na Nakonde upande Zambia.

  • Wakili wa mwandishi Kabendera amuomba Rais wa Tanzania amsamehe mteja wake

    Wakili wa mwandishi Kabendera amuomba Rais wa Tanzania amsamehe mteja wake

    Oct 02, 2019 00:45

    Wakili wa Erick Kabendera, mwandishi hodari wa habari nchini Tanzania aliyetiwa nguvuni zaidi ya miezi miwili iliyopita, amemwomba rais wa nchi hiyo John Magufuli atoe msamaha kwa mteja wake, wakati mahakama ikiakhirisha kwa mara ya sita kusikilizwa kesi ya mwandishi huyo.

  • IGP Simon Sirro: Jeshi la polisi Tanzania linasumbuliwa na unafiki

    IGP Simon Sirro: Jeshi la polisi Tanzania linasumbuliwa na unafiki

    Sep 24, 2019 09:37

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, Inspekta Jenerali, Simon Sirro amesema kuwa tatizo linalolisumbua jeshi hilo ni unafiki.

  • Fatma Karume: Hatuwezi kuishi kwenye nchi iliyo na dhuluma kiasi hiki

    Fatma Karume: Hatuwezi kuishi kwenye nchi iliyo na dhuluma kiasi hiki

    Sep 22, 2019 10:16

    Fatma Karume, wakili wa Tanzania aliyevuliwa uwakili na mahkama ya nchi hiyo amesema kuwa hatokata tamaa na kwamba anatafakari kuingia kwenye siasa kwa lengo la kupigania mabadiliko muhimu nchini na kuhakikisha Watanzania wanaheshimiwa na kuzingatiwa misingi ya demokrasia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS