-
Edward Lowassa: Tanzania imewaka moto kila sehemu kutokana na utendaji wa Magufuli
Sep 20, 2019 10:30Waziri Mkuu wa Zamani wa Tanzania, Edward Lowassa amepongeza utendaji kazi wa Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo kuwa, umeliwasha moto kila mahali taifa hilo.
-
Membe ahimiza uhuru wa vyombo vya habari Tanzania + Sauti
Sep 19, 2019 14:01Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki nchini Tanzania Benard Membe amesema kuwa serikali inaweza kuwa dumavu endapo haitoruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania
-
Watanzania: Wamarekani ndio waliotengeneza Ebola kuwamaliza Waafrika + Sauti
Sep 15, 2019 12:14Kufuatia uvumi wa kuibuka maradhi ya Ebola nchini Tanzania, Watanzania wengi wamekua wakieneza taarifa kwenye mitandao ya kijamii zinazoeleza kuwa, ugonjwa huo ulitengenezwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) kwa lengo la kupunguza idadi ya Waafrika. Tumtegee sikio mwandishi wetu wa Dar es Salaam kwa taarifa kamili...
-
Serikali ya Tanzania: Hakuna ugonjwa wa Ebola nchini
Sep 14, 2019 09:48Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa taarifa ikisema kuwa, hakuna mtu aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola ndani ya nchini hiyo, na kuongeza kwamba, watu wawili waliotiliwa shaka na baadaye kupimwa imethibitika kuwa hawana maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo.
-
Serikali ya Tanzania: Umasikini umepungua sana nchini
Sep 11, 2019 07:58Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema kuwa umasikini nchini umepungua kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na miaka ya huko nyuma.
-
Maadhimisho ya Siku ya Ashura nchini Tanzania + Sauti
Sep 11, 2019 02:04Wakati Tanzania ikikaribia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa, viongozi wa dini mbalimbali wametakiwa kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie uchaguzi huo upite kwa salama na amani. Maelezo zaidi anayo mwandishi wetu wa Ammar Dachi...
-
Mahakama Tanzania yatupilia mbali ombi la Lissu la kupinga kuvuliwa ubunge; asema atadai haki yake Mahakama ya Rufaa
Sep 09, 2019 12:12Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Mwanasheria Mkuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, Tundu Lissu ya kufungua shauri la kutengua uamuzi wa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai uliosababisha kukoma kwa Ubunge wake Singida Mashariki.
-
Tanzania yaunga mkono juhudi za Afrika Kusini za kukomesha machafuko dhidi ya wageni + Sauti
Sep 05, 2019 11:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamaganda Kabudi, amesema kuwa serikali ya nchi hiyo ambayo hivi ni miongoni mwa nchi za SADC itakuwa bega kwa bega na serikali ya Afrika Kusini katika kuhakikisha machafuko yanayoendelea huko Afrika Kusini yanakomeshwa. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dr es Salaam...
-
Mwito wa namna ya kuuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu + Sauti
Sep 02, 2019 05:10Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu kwa kukaa na kutathmini walichokifanya mwaka uliokwisha kwani kwisha kwa mwaka kuna maana ya kuzidi mwanadamu kuelekea kwenye siku yake ya kuondoka duniani. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...
-
Watanzania waandamana mbele ya ubalozi wa A. Kusini, wataka ndege ya ATCL irejeshwe
Aug 28, 2019 07:52Umati wa watu umeandamana leo nje ya ofisi za ubalozi wa Afrika Kusini jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wakishinikiza mahakama ya nchi hiyo iachie huru ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) inayoshikiliwa nchini Afrika Kusini kufuatia kesi ya fidia inayomhusu mtu ajulikanaye kama Hermanus Steyn wa nchi hiyo na Serikali ya Tanzania.