Membe ahimiza uhuru wa vyombo vya habari Tanzania + Sauti
Sep 19, 2019 18:31 UTC
Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki nchini Tanzania Benard Membe amesema kuwa serikali inaweza kuwa dumavu endapo haitoruhusu uhuru wa vyombo vya habari. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam Tanzania
Tags