Watanzania: Wamarekani ndio waliotengeneza Ebola kuwamaliza Waafrika + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i56025-watanzania_wamarekani_ndio_waliotengeneza_ebola_kuwamaliza_waafrika_sauti
Kufuatia uvumi wa kuibuka maradhi ya Ebola nchini Tanzania, Watanzania wengi wamekua wakieneza taarifa kwenye mitandao ya kijamii zinazoeleza kuwa, ugonjwa huo ulitengenezwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) kwa lengo la kupunguza idadi ya Waafrika. Tumtegee sikio mwandishi wetu wa Dar es Salaam kwa taarifa kamili...
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Sep 15, 2019 12:14 UTC