-
Tanzania kuwatimua wakimbizi wa Burundi, UNHCR yapinga
Aug 28, 2019 03:37Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa wakimbizi wote kutoka nchi jirani ya Burundi watarudishwa makwao kuanzi Oktoba lakini Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNCHR limepinga hatua hiyo.
-
Sheikh Hemen Jalala alalamikia unyanyasaji wa Waislamu Tanzania + Sauti
Aug 26, 2019 02:25Mkuu wa chuo cha kiislamu cha Imam Swadiq AS kilichopo jijini Dar es Salaam Tanzania, Sheikh Hemed Jalala amesema kuwa kitendo cha kuwatilia shaka Waislamu wa kwa sababu ya kwenda nchi za Iran, Iraq, Syria, Saudi Arabia na Lebanon, ni kuvunja uhuru wao wa ibada. Ammar Dachi na maelezo zaidi...
-
Magari yanayotumia gesi yaongezeka nchini Tanzania
Aug 23, 2019 01:34Serikali ya Tanzania imebainisha kuwa matumizi ya gesi asilia katika magari yamezidi kukua nchini humo ambapo kwa sasa idadi ya magari hayo imefikia 210 kutoka 65 yaliyokuwa yakitumia nishati hiyo mwaka 2017. Mwandishi wetu Ammar Dachi ana maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam....
-
Magufuli ahitimisha mkutano wa viongozi wa SADC, Dar
Aug 18, 2019 07:35Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye ni Rais wa Tanzania, John Magufuli leo amefunga Mkutano wa 39 wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
-
Mkutano wa SADC waanza Dar es Salaam
Aug 17, 2019 09:46Mkutano wa kilele wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza leo mjini Dar es Salaam nchini Tanzania.
-
Tanzania yatangaza siku tatu za maombolezo, vifo vya ajali ya gari la mafuta Morogoro
Aug 11, 2019 09:32Rais wa Tanzania, John Magufuli amewatembelea majeruhi 43 wa ajali ya moto iliyotokea jana mkoani Morogoro waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kuwapatia kila mmoja Shilingi 500,000 kwa ajili ya matumizi.
-
Watu 62 wamepoteza maisha Tanzania katika ajali ya lori la mafuta; Rais Magufuli atuma salamu pole
Aug 10, 2019 03:45Watu 62 wameripotiwa kuaga dunia hadi sasa kufuatia ajali ya lori la mafuta katika eneo la Msamvu mjini Morogoro, Mashariki mwa Tanzania.
-
Benki ya Dunia yaitahadharisha serikali ya Tanzania kutokana na ongezeko la madeni
Jul 25, 2019 21:05Benki ya Dunia imeitahadharisha serikali ya Tanzania kuhusiana na ongezeko la deni la taifa inalodaiwa ndani na nje ya nchi.
-
Jeshi la polisi Tanzania lawapiga kalamu nyekundu askari wake 54, Magufuli aunga mkono
Jul 15, 2019 11:13Jeshi la polisi nchini Tanzania limewapiga kalamu nyekundu askari wake 54 kuanzia Januari hadi mwezi Juni mwaka huu kutokana na kwenda kinyume na maadili ya kazi yao ikiwamo kufanya vitendo vya uhalifu na kushirikiana na wahalifu.
-
Wajasiriamali "Muhajjaba" waandaliwa shindano la uvaaji bora wa Hijab + Sauti
Jul 15, 2019 00:06Wanawake wajasiriamali nchini Tanzania ambao wamedumisha vazi la Hijabu wameandaliwa shindano maalumu kwa wale wanaovaa vazi hilo tukufu hata wakiwa katika mishughuliko yao, lengo likiwa ni kuwapa motisha wale wasiovaa, wawezee kuvaa vazi hilo la heshima la Kiislamu. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam