Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • Rais Magufuli: Watakaofanya maandamano 'watasimulia' baba zao

    Rais Magufuli: Watakaofanya maandamano 'watasimulia' baba zao

    Mar 10, 2018 00:45

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John  Magufuli amevionya vyama vya siasa na wananchi ambao wamepanga kufanya maandamo siku za hivi karibuni kwa mujibu wa taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa mitandaoni.

  • LHRC yaitaka Tume ya Uchaguzi Tanzania kusikiliza malalamiko ya wadau

    LHRC yaitaka Tume ya Uchaguzi Tanzania kusikiliza malalamiko ya wadau

    Mar 07, 2018 11:02

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC),  kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya nchi hiyo (NEC) kufanyia kazi changamoto na malalamiko yaliyoibuliwa na wadau wakati na baada ya uchaguzi mdogo wa ubunge Kinondoni na Siha.

  • Tanzania yazinyoshea kidole nchi za Magharibi kutokana na matukio ya kisiasa ya nchi hiyo

    Tanzania yazinyoshea kidole nchi za Magharibi kutokana na matukio ya kisiasa ya nchi hiyo

    Mar 03, 2018 01:32

    Serikali ya Tanzania imewataka mabalozi wa kigeni wanaoziwakilisha nchi zao nchini humo, kutambua mazingira yanayolikabili taifa hilo kabla ya kutoa ripoti ambazo hazijathibitishwa na zenye uchochezi.

  • Mbowe aishambulia NEC na polisi, asema polisi inapotosha kuhusu wahusika wa mauaji Tanzania-na sauti

    Mbowe aishambulia NEC na polisi, asema polisi inapotosha kuhusu wahusika wa mauaji Tanzania-na sauti

    Feb 27, 2018 11:48

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amelituhumu jeshi la polisi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Tanzania (NEC) kuwa imekuwa na miamala mibaya dhidi ya upinzani nchini.

  • Viongozi wa upinzani wahukumiwa kifungo jela kwa kumkashifu Rais nchini Tanzania

    Viongozi wa upinzani wahukumiwa kifungo jela kwa kumkashifu Rais nchini Tanzania

    Feb 26, 2018 06:45

    Mahakama moja nchini Tanzania imewahukumu kifungo cha miezi mitano jela mbunge na katibu wa chama cha upinzani cha CHADEMA baada ya kuwapata na hatia ya kumkashifu Rais wa nchi hiyo.

  • Ulimwengu wa Michezo, Feb 26

    Ulimwengu wa Michezo, Feb 26

    Feb 26, 2018 04:26

    Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti yaliyojiri duniani ndani ya siku saba zilizopita...

  • Umoja wa Ulaya waitaka serikali ya Tanzania ifanye uchunguzi kuhusu matukio ya mauaji na utekaji nchini

    Umoja wa Ulaya waitaka serikali ya Tanzania ifanye uchunguzi kuhusu matukio ya mauaji na utekaji nchini

    Feb 24, 2018 04:52

    Umoja wa Ulaya (EU) umetoa tamko kuhusiana na matukio ya utekaji nyara na mauaji ambayo yamekuwa yakitokea nchini Tanzania na umeitaka serikali ya Dar es Salaam kufanya uchunguzi wa kina juu ya matukio hayo.

  • Zitto Kabwe: Mungu aliamua niingie mahabusu ili nijionee mateso wanayopata wananchi wenzangu Tanzania

    Zitto Kabwe: Mungu aliamua niingie mahabusu ili nijionee mateso wanayopata wananchi wenzangu Tanzania

    Feb 23, 2018 11:48

    Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini, magharibi mwa Tanzania kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa, inawezekana Mungu aliamua yeye akamatwe jana na polisi na kisha apelekwe mahabusu ili aweze kushuhudia mateso wanayoyapata watu wanaozuiliwa korokoroni kinyume cha sheria.

  • Viongozi wa dini na wanasiasa wapanga kuonana na Rais Magufuli wa Tanzania

    Viongozi wa dini na wanasiasa wapanga kuonana na Rais Magufuli wa Tanzania

    Feb 22, 2018 04:42

    Viongozi wa dini na wanasiasa nchini Tanzania wamekusudia kwenda kumuona Rais John Magufuli wa nchi hiyo kwa ajili ya kuwasilisha pendekezo la kutaka kukamilishwa mchakato wa kupatikana Katiba Mpya.

  • Hali ya kisiasa nchini Tanzania na wito wa asasi za kiraia wa kuundwa tume ya uchunguzi

    Hali ya kisiasa nchini Tanzania na wito wa asasi za kiraia wa kuundwa tume ya uchunguzi

    Feb 22, 2018 04:15

    Licha ya serikali ya awamu ya tano ya Tanzania chini ya Rais John Pombe Magufuli kusifika kwa mapambano yake dhidi ya ufisadi na pia kulinda raslimali ya nchi hiyo, lakini imekuwa ikikosolewa na wapinzani kutokana na miamala yake kuvilenga vyama vya upinzani nchini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS