-
Watanzania 3 wakamatwa DRC wakituhumiwa kuwa wanachama wa ADF
Feb 08, 2022 07:46Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuwatia mbaroni raia watatu wa Tanzania, kwa tuhuma za kuwa wanachama wa kundi la wanamgambo wa ADF.
-
Dr. Tulia Ackson achaguliwa kuwa spika mpya wa Bunge la Tanzania
Feb 01, 2022 13:33Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua Dk Tulia Ackson kuwa spika wa bunge hilo.
-
Tanzania yapata nafasi muhimu ya sayansi na teknolojia Umoja wa Mataifa
Jan 19, 2022 02:57Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Kiuchumi na Kijamii, ECOSOC, Collen Vixen Kelapile ameiteua nchi ya Tanzania kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Jukwaa la Saba la Wadau Mbalimbali wa Masuala ya Sayansi, Teknolojia na Uvumbuzi katika kutekeleza Agenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa, SDGs.
-
Athari za mabadiliko ya tabianchi; kiangazi chaua mifugo 62,000 Tanzania
Jan 15, 2022 12:13Kipindi kirefu cha kiangazi kimeua makumi ya maelfu ya mifugo katika wilaya ya Simanjiro mkoani Manyarahuku, kaskazini mwa Tanzania, huku makali ya ukame yakiendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Ajali ya gari la waandishi habari yaua watu wasiopungua 14 Simiyu, Tanzania
Jan 11, 2022 14:13Watu wasiopungua 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria aina ya Toyota Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.
-
Biashara ya Kenya na Tanzania yaimarika kufuatia agizo la Rais Samia
Jan 09, 2022 08:04Biashara baina ya Kenya na Tanzania inazidi kuimarika miezi kadhaa baada ya kuja madarakani Rais Samia Suluhu Hassan nchini Tanzania.
-
Job Yustino Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania ajiuzulu
Jan 06, 2022 14:15Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo ndani ya Bunge leo Alkhamisi, Januri 6, 2022.
-
Watu 9 waaga dunia kwa kuzama baharini kisiwani Pemba, wengine hawajulikani waliko
Jan 05, 2022 03:20Watu tisa wamefariki dunia na wengine kadhaa kuokolewa baada ya boti waliokuwa wakisafiria kuzama Mkoa wa Kusini Pemba.
-
Serikali ya Tanzania yawataka raia wachukue tahadhari ya magonjwa ya kuambukiza
Dec 18, 2021 08:14Wizara ya Afya ya Tanzania imewataka raia kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza, wakati huu hospitali nyingi nchini humo, zikiripoti ongezeko la wagonjwa wanaougua mafua, kifua na maumivu ya viungo.
-
Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Tanzania aomba Wimbo wa Taifa ubadilishwe
Dec 07, 2021 15:57Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Fredrick Shoo, ameomba neno HAKI liongezwe katika wimbo wa taifa hilo, akisisitiza kuwa ni tunda la amani ya nchi.