Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tehran

  • Mkutano wa mawaziri wa nchi zinazouza gesi duniani waanza Tehran

    Mkutano wa mawaziri wa nchi zinazouza gesi duniani waanza Tehran

    Dec 06, 2024 12:09

    Mkutano wa 26 wa nchi zinazouza gesi duniani umeanza shughuli zake hapa mjini Tehran.

  • Russia: Mkataba wa ushirikiano mpana wa kistratejia na Iran utajumuisha ulinzi na usalama

    Russia: Mkataba wa ushirikiano mpana wa kistratejia na Iran utajumuisha ulinzi na usalama

    Nov 24, 2024 10:03

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mkataba wa ushirikiano wa kimkakati na mpana kati ya nchi yake na Iran utajumuisha pia ushirikiano katika sekta ya ulinzi na usalama.

  • Jumatatu, 7 Oktoba, 2024

    Jumatatu, 7 Oktoba, 2024

    Oct 07, 2024 02:17

    Leo ni Jumatatu tarehe 3 Mfunguo Siba Rabiul-Thani 1446 Hijria mwafaka na tarehe 7 Oktoba 2024.

  • Rais wa Iran ahitimisha safari yake ya siku tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia mjini New York, UN

    Rais wa Iran ahitimisha safari yake ya siku tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia mjini New York, UN

    Sep 26, 2024 07:21

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambaye alisafiri kwenda mjini New York kushiriki katika kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), ameondoka mjini humo usiku wa kuamkia leo kurejea Tehran baada ya siku tatu za mikutano na mashauriano ya kina ya kidiplomasia aliyofanya huko.

  • Tehran yakadhibisha tuhuma za maafisa wa Sweden dhidi ya Iran

    Tehran yakadhibisha tuhuma za maafisa wa Sweden dhidi ya Iran

    Sep 25, 2024 07:56

    Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sweden umekadhibisha tuhuma zisizo na msingi na za uongo zilizotolewa na maafisa wa serikali ya Sweden dhidi ya Tehran.

  • Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais wa Iran

    Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais wa Iran

    Sep 19, 2024 06:48

    Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza leo hapa mjini Tehran kwa kuhudhuriwa na Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • OIC yasema, Israel 'inabeba dhima kamili' ya mauaji ya Kiongozi wa HAMAS Ismail Haniya

    OIC yasema, Israel 'inabeba dhima kamili' ya mauaji ya Kiongozi wa HAMAS Ismail Haniya

    Aug 08, 2024 06:32

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeulaumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa shambulizi la kigaidi lililomuua Ismail Haniya, Mkuu wa Tawi la Kisiasa la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS wiki iliyopita nchini Iran, ambayo Tehran imeapa kuyalipizia kisasi.

  • Tehran inajiandaa kwa hafla ya kuapishwa Pezeshkian huku viongozi wa nchi mbalimbali wakiwasili kwa wingi

    Tehran inajiandaa kwa hafla ya kuapishwa Pezeshkian huku viongozi wa nchi mbalimbali wakiwasili kwa wingi

    Jul 29, 2024 12:39

    Viongozi na maafisa wa ngazi ya juu kutoka nchi mbalimbali tayari wamewasili Tehran mji mkuu wa Iran kwa lengo la kushiriki katika hafla ya kuapishwa Rais mpya wa Iran, Masoud Pezeshkian kesho Jumanne.

  • Tehran, mwenyeji wa mkutano wa nafasi ya utambulisho wa asili na muqawama katika kuasisi mfumo mpya duniani

    Tehran, mwenyeji wa mkutano wa nafasi ya utambulisho wa asili na muqawama katika kuasisi mfumo mpya duniani

    Jun 27, 2024 12:29

    Mkutano wa kimataifa uliofanyika chini ya anwani ya "Nafasi ya Utambulisho wa Asili na Muqawama Katika Kuasisi Mfumo Mpya Duniani" umefanyika leo hapa Tehran kwa kuhudhuriwa na wataalamu na wanafikra wa kimataifa.

  • Mokhber: ACD inaweza kuwa na mchango muhimu katika kuasisi Asia yenye umoja, nguvu na athirifu zaidi

    Mokhber: ACD inaweza kuwa na mchango muhimu katika kuasisi Asia yenye umoja, nguvu na athirifu zaidi

    Jun 24, 2024 11:30

    Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe katika Jukwaa la Mazungumzo ya Ushirikiano wa Asia yaani Asia Cooperation Dialogue (ACD) la kundi la D-8 hapa njini Tehran kwamba Asia inaweza kuwa chanzo cha mabadiliko chanya katika michakato ya kimataifa na kichocheo kikubwa cha umoja na mshikamano wa kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS