Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tehran

  • Ayatullah Khatami: Hatima ya maadui wa Iran si nyingine ghairi ya kushindwa

    Ayatullah Khatami: Hatima ya maadui wa Iran si nyingine ghairi ya kushindwa

    Jun 29, 2023 11:28

    Imamu wa Swala ya Eidul-Adh'ha iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, hatima ya maadui na upinzani dhidi ya Iran si nyingine bali ni kushindwa na kufeli katika mipango yao.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia awasili Tehran katika ziara yake ya kwanza

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia awasili Tehran katika ziara yake ya kwanza

    Jun 17, 2023 15:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia Mwanamfalme Faisal bin Farhan leo amewasili Tehran kwa ziara ya kwanza tangu mataifa haya mawili yenye nguvu ya Magharibi mwa Asia yakubaliane kurejesha uhusiano baina yao kufuatia kusitishwa kwa miaka saba.

  • Tuhuma hizo kwa hizo na zisizo na msingi za Jamhuri ya Azerbaijan dhidi ya Iran

    Tuhuma hizo kwa hizo na zisizo na msingi za Jamhuri ya Azerbaijan dhidi ya Iran

    Feb 21, 2023 02:26

    Rais Ilham Aliyev wa Jamhuri ya Azerbaijan, kwa mara nyingine tena ametoa matamshi dhidi ya Iran bila kuonyesha nyaraka wala ushahidi wowote.

  • Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yafunguliwa rasmi mjini Tehran

    Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yafunguliwa rasmi mjini Tehran

    Feb 19, 2023 05:02

    Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumamosi alasiri mjini Tehran.

  • Jenerali wa Kizayuni akiri kuwa mkakati wa Israel dhidi ya Iran umegonga mwamba

    Jenerali wa Kizayuni akiri kuwa mkakati wa Israel dhidi ya Iran umegonga mwamba

    Jan 02, 2023 07:13

    Mkuu wa zamani wa idara ya intelijensia ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa mkakati wa Tel Aviv dhidi ya Iran wa kutegemea vikwazo vikali vya kiuchumi na kuanzisha mpango wa kuzuia hujuma kupitia Marekani umeshindwa.

  • Waziri Mkuu wa Iraq kufanya ziara Tehran Jumatatu

    Waziri Mkuu wa Iraq kufanya ziara Tehran Jumatatu

    Nov 27, 2022 02:55

    Vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu wa Iraq kesho Jumatatu atafanya ziara hapa mjini Tehran.

  • Mafuriko yameua watu tisa katika eneo la Firuzkuh, Tehran

    Mafuriko yameua watu tisa katika eneo la Firuzkuh, Tehran

    Jul 29, 2022 10:11

    Mkuu wa Mkoa wa Tehran amesema watu tisa ameuawa kufuatia mafuriko usiku wa kuamkia Ijumaa katika wilaya ya Firuzkuh iliyo katika milima ya mashariki mwa Tehran na kuongeza kuwa watu wengine 16 hawajulikani waliko na wengine 13 wamejeruhiwa.

  • Taarifa ya mwisho ya mkutano wa Astana mjini Tehran: Hakuna suluhisho la kijeshi la mzozo wa Syria

    Taarifa ya mwisho ya mkutano wa Astana mjini Tehran: Hakuna suluhisho la kijeshi la mzozo wa Syria

    Jul 20, 2022 06:55

    Katika taarifa ya mwisho ya kikao cha Astana mjini Tehran, Iran, Russia na Uturuki zimesisitiza kuwa, mzozo wa Syria hauna suluhisho la kijeshi na kueleza azma yao ya kuendeleza ushirikiano wa kupambana na ugaidi wa aina zote.

  • Rais Raisi amlaki rasmi Rais Erdogan wa Uturuki mjini Tehran

    Rais Raisi amlaki rasmi Rais Erdogan wa Uturuki mjini Tehran

    Jul 19, 2022 08:09

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemlaki rasmi Rais wa Uturuki katika Ikuluu ya Saad Abad hapa Tehran.

  • Vikao muhimu kufanyika katika safari ya Putin na Erdogan nchini Iran

    Vikao muhimu kufanyika katika safari ya Putin na Erdogan nchini Iran

    Jul 14, 2022 10:36

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Ankara amedokeza kuwa kutafanyika vikao viwili muhimu mjini Tehran wiki ijayo ambavyo vitahudhuriwa na marais Vladimir Putin wa Russia na Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS