-
Waziri Mkuu wa Iraq kufanya ziara Tehran Jumatatu
Nov 27, 2022 02:55Vyombo vya habari vya Iraq vimetangaza kuwa Mohammed Shia al Sudani Waziri Mkuu wa Iraq kesho Jumatatu atafanya ziara hapa mjini Tehran.
-
Mafuriko yameua watu tisa katika eneo la Firuzkuh, Tehran
Jul 29, 2022 10:11Mkuu wa Mkoa wa Tehran amesema watu tisa ameuawa kufuatia mafuriko usiku wa kuamkia Ijumaa katika wilaya ya Firuzkuh iliyo katika milima ya mashariki mwa Tehran na kuongeza kuwa watu wengine 16 hawajulikani waliko na wengine 13 wamejeruhiwa.
-
Taarifa ya mwisho ya mkutano wa Astana mjini Tehran: Hakuna suluhisho la kijeshi la mzozo wa Syria
Jul 20, 2022 06:55Katika taarifa ya mwisho ya kikao cha Astana mjini Tehran, Iran, Russia na Uturuki zimesisitiza kuwa, mzozo wa Syria hauna suluhisho la kijeshi na kueleza azma yao ya kuendeleza ushirikiano wa kupambana na ugaidi wa aina zote.
-
Rais Raisi amlaki rasmi Rais Erdogan wa Uturuki mjini Tehran
Jul 19, 2022 08:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemlaki rasmi Rais wa Uturuki katika Ikuluu ya Saad Abad hapa Tehran.
-
Vikao muhimu kufanyika katika safari ya Putin na Erdogan nchini Iran
Jul 14, 2022 10:36Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Ankara amedokeza kuwa kutafanyika vikao viwili muhimu mjini Tehran wiki ijayo ambavyo vitahudhuriwa na marais Vladimir Putin wa Russia na Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki.
-
Ayatullah Khatami: Marekani isubiri vipigo zaidi vya kudhalilisha vya Iran
Mar 25, 2022 14:27Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah ameashiria kugonga mwamba sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, Washington ijiandae tena kushindwa kunakodhalilisha na Iran mwaka huu.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran akosoa ubaguzi wa nchi za Magharibi katika kadhia ya Ukraine
Mar 11, 2022 11:50Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amekosoa sera za kibaguzi za nchi za Magharibi za kuwatambua wazugu na watu weupe kutoka Ukraine kuwa ndio boza zaidi ya watu wa rangi nyingine na kusema hilo ni doa jeusi na la kufedhehesha.
-
Maandalizi ya mashindano ya 38 ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran yamekamilika
Feb 26, 2022 02:39Mkuu wa Idara ya masuala ya Qur'ani ya Shirika la Waqfu na Mambo ya Kheri amesema maandalizi ya mashindano ya 38 ya kimataifa ya Qur'ani yanayofanyika kila mwaka mjini Tehran yamekamilika.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran atoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 31, 2021 12:54Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kama utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utathubutu kufanya kosa dogokabisa, vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitatoa jibu kali dhidi yake ambalo litakuwa ni la kuumiza.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Nchi za Ulaya zisitoe mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni
Nov 26, 2021 11:19Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezinasihi nchi za Ulaya kutotoa mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa na malengo haramu ya watawala wa Marekani na utawala haramu wa Israel.