-
Ethiopia yajiunga na nchi chacha za Afrika zilizorusha satalaiti katika anga za mbali.
Dec 22, 2019 08:08Hamjambo wapenzi w asikilizaji na karibuni kujiunga nami katika Makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio ya Iran katika uga wa sayansi na teknolojia. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kufaidika.
-
Iran yazindua roboti mpya ya muundo wa Humanoid
Dec 16, 2019 08:13Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa utaweza kunufaika na niliyokuandalia.
-
Wanasayansi Wairani waunda mashine ya kutibu wenye mshtuko wa moyo
Sep 16, 2019 11:32Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia matukio muhimu ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani.
-
Sayansi na Teknolojia 28
Jun 10, 2019 07:40Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya matukio muhimu ya sayansi na teknolojia duniani nchini Iran na maeneo mengine duniani hivi karibuni.
-
Jitihada za Marekani za kuzuia maendeleo ya teknolojia ya China
Dec 09, 2018 02:52Tangu alipochukua madaraka, Rais Donald Trump wa Marekani ameisababishia China changamoto mbalimbali. China inahesabiwa kuwa nguvu kubwa zaidi ya pili ya kiuchumi duniani.
-
Teknolojia (22)
Sep 23, 2018 16:39Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani.
-
Watafiti wa Kenya, Tanzania, Uhispania kuboresha mihogo
Jul 21, 2018 11:08Wakaazi wa Afrika Mashariki wataweza kupata mihogo bora zaidi kuliko ilivyo hivi sasa kutokana na ushirikiano wa watafiti wa Kenya, Tanzania na Uhispania. Hayo ni kati ya yaliyomo katika makala yetu ya leo ya sayansi na teknolojia.
-
Wanasayansi Wairani wakabiliana na saratani ipatikanayo katika viazi
Jul 11, 2018 18:26Karibuni katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu mtaweza kuwa nami hadi mwisho.
-
Timu ya Iran yatia fora katika mashindano ya roboti duniani
Jul 07, 2018 14:18Makala hii huangazia baadhi ya mafanikio muhimu ya sayansi na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani na kati ya mengine leo tutaangazia mafanikio ya timu ya wanafunzi Wairani katika mashindano ya roboti duniani.
-
UN: Teknolojia za kisasa suluhisho la changamoto za kiuchumi, kijamii na kimazingira
May 17, 2018 04:23Teknolojia za kisasa ni suluhisho katika kukabiliana na changamoto za kiuchumi, kijamii na kimazingira katika karne ya sasa ya 21.