Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Wizara ya Mashauri ya Kigeni: Tunisia haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni: Tunisia haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel

    Dec 23, 2020 04:35

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Tunisia imeashiria juhudi za baadhi ya mataifa ya kieneo za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, serikali ya Tunis haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.

  • Vyama na shakhsia wa Tunisia walaani kuuliwa kigaidi Shahidi Fakhrizadeh

    Vyama na shakhsia wa Tunisia walaani kuuliwa kigaidi Shahidi Fakhrizadeh

    Dec 01, 2020 01:02

    Vyama na shakhsia mbalimbali nchini Tunisia wametoa taarifa na kulaani mauaji ya kigaidi ya Shahidi Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya ulinzi wa Iran.

  • Mkuu wa Harakati ya An Nahdhah  nchini Tunisia ajiengua kugombea nafasi ya mkuu wa chama

    Mkuu wa Harakati ya An Nahdhah nchini Tunisia ajiengua kugombea nafasi ya mkuu wa chama

    Nov 26, 2020 01:06

    Mkuu wa Harakati ya An Nahadhah ya nchini Tunisia amesema hatagombea nafasi ya mkuu wa harakati hiyo kwa duru ya tatu mtawalia.

  • Moncef Marzouki: Tawala za Kiarabu hazijaanzisha uhusiano na Israel bali 'zimejisalimisha'

    Moncef Marzouki: Tawala za Kiarabu hazijaanzisha uhusiano na Israel bali 'zimejisalimisha'

    Nov 21, 2020 04:32

    Mohamed Moncef Marzouki, rais wa zamani wa Tunisia amesema kuwa, ni kosa kusema kuwa, baadhi ya nchi za Kiarabu zimeanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel, bali lililo sahihi na ambalo ndio ukweli wa mambo ni kuwa, mataifa hayo yamejisalimisha kwa utawala huo vamizi.

  • Rais wa zamani wa Tunisia aikosoa vikali Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Rais wa zamani wa Tunisia aikosoa vikali Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Nov 07, 2020 07:04

    Rais wa zamani wa Tunisia Muhammad Moncef al-Marzouki amekosoa vikali kimya cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) na kutolaani kwake mwenendo wa baadhi ya nchi za jumuiya hiyo wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Sudan yakanusha kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Sudan yakanusha kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Oct 15, 2020 23:09

    Duru moja ya kuaminika ndani ya Baraza la Uongozi la Sudan imekanusha taarifa zinazodai kuwa kumefikiwa makubaliano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya baraza hilo na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mamia wapambana na polisi Tunisia baada ya muuza sigara kuuawa kwa buldoza

    Mamia wapambana na polisi Tunisia baada ya muuza sigara kuuawa kwa buldoza

    Oct 13, 2020 22:53

    Mamia ya waandamanaji waliokuwa wakirusha mawe walipambana na polisi katika mji wa Sbeitla nchini Tunisia jana Jumanne baada ya mamlaka kushambulia kibanda cha sigara ambacho hakina leseni, na kumuua mmiliki wake aliyekuwa amelala ndani yake.

  • Watunisia waandamana kuonyesha uungaji mkono wao kwa Wapalestina

    Watunisia waandamana kuonyesha uungaji mkono wao kwa Wapalestina

    Oct 02, 2020 06:51

    Kwa mara nyingine tena wananchi na shakhsia mbalimbali wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Tunis, kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Watunisia wasisitiza kuhuishwa uhusiano na Syria

    Watunisia wasisitiza kuhuishwa uhusiano na Syria

    Sep 25, 2020 23:24

    Jumuiiya ya Kitaifa ya Kuunga mkono Muqawama na kupambana na utawala wa Kizayuni ya Tunisia imefanya maandamano na kusisitiza kuanzishwa tena uhusiano kati ya nchi hiyo na Syria.

  • Rais wa Tunisia: Baraza la Usalama la UN limekuwa

    Rais wa Tunisia: Baraza la Usalama la UN limekuwa "kibogoyo" kutokana na kutawaliwa na mivutano

    Sep 25, 2020 03:07

    Rais wa Tunisia amesema kwa mivutano ya kisiasa imelifanya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liwe "kibogoyo" na kupunguza uwezo wake wa kutatua migogoro mbalimbali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS