-
Rais wa Tunisia ahimiza kulindwa ipasavyo haki za Wapalestina
Sep 22, 2020 08:15Rais wa Tunisia ametoa mwito kwa walimwenguni kushirikiana kuhakikisha kuwa Wapalestina wanakombolewa kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni na wanapata haki zao.
-
Mwakilishi wa kudumu wa Tunisia UN afutwa kazi ghafla
Sep 11, 2020 20:12Mwakilishi wa kudumu wa Tunisia katika Umoja wa Mataifa ambaye hajatimiza hata miezi sita tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo, amefutwa kazi ghafla tena bila ya kupewa taarifa mapema.
-
Bunge la Tunisia lapasisha baraza jipya la mawaziri
Sep 02, 2020 23:40Baada ya karibu mwezi mmoja tangu Rais Kais Saied alipomteuwa Hisham El-Mechishi kuwa Waziri Mkuu wa Tunisia, El-Mechishi amewasilisha baraza lake la mawaziri bungeni ambalo limepasishwa kwa wingi wa kura.
-
Wananchi wa Tunisia waandamana kulaani mapatano ya Imarati na utawala wa Kizayuni
Aug 23, 2020 21:58Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano makubwa kupinga mapatano yaliyofikiwa kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili hizo.
-
Bunge la Tunisia limelaani mapatano kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni
Aug 18, 2020 02:27Bunge la Tunisia limelaani mapatano yaliyofikiwa ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na utawala ghasibu wa Israel.
-
Rais wa Tunisia: Msingi wa mirathi katika Uislamu ni uadilifu na insafu
Aug 17, 2020 03:08Rais Kais Saied wa Tunisia ameamsha hasira za jumuiya za wanawake za kiliberali baada ya kusisitiza kwamba msingi wa mirathi katika dini ya Uislamu ni uadilifu na insafu na kwamba suala hilo limeshapewa ufumbuzi katika aya za Qu'ani tukufu ambao hauhitajii tena tafsiri wala taawili.
-
Waziri Mkuu mteule wa Tunisia: Nitaunda serikali ya mateknokrati watupu
Aug 11, 2020 06:50Waziri Mkuu mteule wa Tunisia amesema kuwa ataunda serikali ya mateknokrati watupu bila ya kuvishirikisha vyama vingine kufuatia mivutano iliyopo baina vyama vya siasa kuhusu uundaji wa serikali mpya nchini humo.
-
Spika wa Bunge la Tunisia asisitiza ushirikiano zaidi na Uturuki
Aug 02, 2020 22:59Spika wa Bunge la Tunisia amefanya mazungumzo na mwenzake wa Uturuki ambapo ametoa wito wa kuimarishwa uhusiano wa nchi hizo mbili.
-
Spika wa Bunge la Tunisia aponea chupuchupu kuuzuliwa
Jul 30, 2020 21:57Spika wa Bunge la Tunisia ameponea chupuchupu kupigiwa kura ya kutokuwa imani naye baada ya wabunge wanaompinga kushindwa kutimiza idadi ya kura 107 zilizohitajika ili kuweza kumuuzulu wadhifa huo.
-
Tunisia yaiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa nchini Libya
Jul 29, 2020 22:48Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Tunisia imetangaza kuwa, nchi hiyo itaendelea kuiunga mkono Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya.