Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Waziri Mkuu mpya ateuliwa nchini Tunisia

    Waziri Mkuu mpya ateuliwa nchini Tunisia

    Jul 26, 2020 20:59

    Kufuatia kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Tunisia baada ya kujiuzulu Waziri Mkuu Elyes Fakhfakh, rais wa nchi hiyo Kais Saied, amemteua waziri wa mambo ya ndani Hichem Mechichi kuwa waziri mkuu mpya na kumtaka aunde baraza jipya la mawaziri.

  • Waziri Mkuu wa Tunisia ajiuzulu na kuitumbukiza nchi katika mgogoro wa kisiasa

    Waziri Mkuu wa Tunisia ajiuzulu na kuitumbukiza nchi katika mgogoro wa kisiasa

    Jul 15, 2020 23:23

    Waziri Mkuu wa Tunisia ametangaza kujiuzulu, hatua ambayo imeitumbukiza nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika katika mgogoro mwingine wa kisiasa.

  • Iran na Tunisia zatilia mkazo ulazima wa kustawishwa ushirikiano wa pande mbili

    Iran na Tunisia zatilia mkazo ulazima wa kustawishwa ushirikiano wa pande mbili

    Jul 07, 2020 06:33

    Balozi wa Iran nchini Tunisia amefanya mazungumzo na waziri wa biashara wa nchi hiyo na pande mbili zimejadiliana njia za kuimarisha na kustawisha uhusiano wa pande mbili hasa wa kiuchumi.

  • Chama cha al Nahdha Tunisia kuangalia upya msimamo wake kuhusu serikali ya Rais Kais Saied

    Chama cha al Nahdha Tunisia kuangalia upya msimamo wake kuhusu serikali ya Rais Kais Saied

    Jul 06, 2020 03:26

    Chama cha al Nahdha chenye mielekeo ya Kiislamu nchini Tunisia kimesema kuwa, kinafikiria kuangalia upya msimamo wake kuhusu serikali ya muungano wa vyama kadhaa ya nchi hiyo kutokana na masuala yanayomuhusisha Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Elyes Fakhfakh.

  • Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Jun 23, 2020 03:04

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa uingiliaji kijeshi wa Ufaransa nchini Libya ni mchezo hatari.

  • Idadi ya walioaga dunia katika ajali ya boti Tunisia yaongezeka

    Idadi ya walioaga dunia katika ajali ya boti Tunisia yaongezeka

    Jun 12, 2020 23:47

    Idadi ya wahajiri waliopoteza maisha katika ajali ya boti iliyotokea hivi karibuni katika mji wa pwani wa Sfax nchini Tunisia imeongezeka na kufikia watu 54.

  • Tunisia kufungua mipaka yake mwezi mmoja ujao baada ya corona

    Tunisia kufungua mipaka yake mwezi mmoja ujao baada ya corona

    Jun 02, 2020 06:56

    Viongozi wa Tunisia wamefikia uamuzi wa kufungua mipaka yao ili kuokoa sekta ya utalii. Mipaka ya ardhini, angani na majini ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika inatarajiwa kufunguliwa mwezi mmoja ujao.

  • Tunisia yarefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi sita zaidi

    Tunisia yarefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi sita zaidi

    May 30, 2020 07:33

    Ofisi ya Rais wa Tunisia imetoa tangazo maalumu la kurefusha hali ya hatari ya nchi nzima kwa muda wa miezi sita mingine.

  • Jumanne, Mei 26, 2020

    Jumanne, Mei 26, 2020

    May 25, 2020 21:51

    Leo ni Jumanne tarehe 3 Mfunguo Mosi Shawwal 1441 Hijria, sawa na tarehe 26 Mei, 2020 Miladia.

  • Chama cha al Ghad Tunisia: Kambi ya muqawama ishirikiane vilivyo kukabiliana na Wazayuni

    Chama cha al Ghad Tunisia: Kambi ya muqawama ishirikiane vilivyo kukabiliana na Wazayuni

    May 22, 2020 22:07

    Katibu Mkuu wa chama cha al Ghad cha Tunisia amesisitiza kuwa, ni jambo la dharura sana kuimarishwa kambi ya muqawama kadiri inavyowezekana katika kukabiliana na Wazayuni maghasibu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS