Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Tunisia yaisaidia Uturuki kufikisha misaada Libya

    Tunisia yaisaidia Uturuki kufikisha misaada Libya

    May 09, 2020 00:00

    Serikali ya Tunisia imeiruhusu ndege ya Uturuki ambayo inasemekana ilikuwa na misaada ya kitiba kwa ajili ya Libyan itue nchini humo.

  • Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano

    Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano

    May 07, 2020 00:39

    Nchi za Tunisia na Ufaransa zimelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono na kuafiki azimio la kusimamisha vita haraka katika maeneo ya mapigano duniani kama sehemu ya vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.

  • Vyama vya Siasa Tunisia vyalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah

    Vyama vya Siasa Tunisia vyalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah

    May 06, 2020 07:55

    Vyama vitano vya kisiasa nchini Tunisia vimelaani vikali hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiorodhesha Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kama kundi la kigaidi.

  • Tunisia yapinga njama za kuigawa vipande vipande Libya

    Tunisia yapinga njama za kuigawa vipande vipande Libya

    May 01, 2020 13:45

    Rais wa Tunisia kwa mara nyingine tena ametangaza kuwa nchi yake itaendelea kupinga njama zozote za kujaribu kuigawa vipande vipande nchi jirani ya Libya.

  • Vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa ajili ya kushirikiana dhidi ya virusi vya corona

    Vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa ajili ya kushirikiana dhidi ya virusi vya corona

    Apr 23, 2020 03:17

    Harakati ya An Nahdhah ya Tunisia imetangaza kuwa zaidi ya vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa lengo la kushrikiana katiak mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona.

  • Tunisia yawaachia huru wafungwa 1,420 kufuatia maambukizo ya corona

    Tunisia yawaachia huru wafungwa 1,420 kufuatia maambukizo ya corona

    Apr 01, 2020 08:01

    Rais wa Tunisia ameagiza kuachiwa huru wafungwa 1,420 kufuatia maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.

  • Tunisia yasema iko tayari kuisaidia Palestina kukabiliana na Corona

    Tunisia yasema iko tayari kuisaidia Palestina kukabiliana na Corona

    Mar 28, 2020 11:47

    Serikali ya Tunisia imetangaza uungaji mkono wake kwa raia wa Palestina katika kukabiliana na virusi vya Corona.

  • Rouhani: Nchi na mataifa yote yanapaswa kushirikiana katika kupambana na corona

    Rouhani: Nchi na mataifa yote yanapaswa kushirikiana katika kupambana na corona

    Mar 24, 2020 08:19

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kasi ya maambukizi ya virusi vya corona imekuwa maudhui ya kimataifa na kuongeza kuwa, nchi na mataifa yote yanalazimika kupambana na janga hilo.

  • Ijumaa tarehe 20 Machi mwaka 2020

    Ijumaa tarehe 20 Machi mwaka 2020

    Mar 20, 2020 02:45

    Leo ni Ijumaa tarehe 25 Rajab 1441 Hijria sawa na Machi 20 mwaka 2020.

  • Waganga wa kienyeji Tunisia wavuna kwa kuuza 'dawa ya Corona'

    Waganga wa kienyeji Tunisia wavuna kwa kuuza 'dawa ya Corona'

    Mar 17, 2020 08:07

    Katika hali ambayo hakuna dawa mjarabu ya kutibu ugonjwa wa Corona iliyotangazwa rasmi au kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO), lakini waganga wa kienyeji nchini Tunisia wameendelea kupata faida kubwa kutokana na mauzo ya mitishamba na dawa za kiasili wanazodai kuwa zinatibu Corona.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS