-
Tunisia: Wananchi changieni sehemu ya mshahara kukabili ugaidi
Mar 13, 2016 13:06Waziri Mkuu wa Tunisia amewataka wafanyakazi wa umma na wananchi wote kwa jumla kuchangia sehemu ya mishahara yao kwenda kwenye hazina maalumu ya kupambana na harakati za ugaidi nchini humo.
-
Libya yakanusha tuhuma za Rais wa Tunisia
Mar 09, 2016 10:54Msemaji wa serikali ya Libya amekanusha madai ya Rais wa Tunisia kuwa nchi hiyo inazalisha magaidi wanaofanya mashambulizi nchi nyingine.
-
Tunisia yaangamizi Madaesh wengine 5 karibu na mpaka na Libya
Mar 09, 2016 04:26Jeshi la Tunisia limesema kuwa limefanikiwa kuangamiza wanamgambo wengine watano wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh karibu na mpaka wa nchi hiyo na Libya.
-
Watu wasiopungua 30 wauawa katika mapigano kusini mwa Tunisia
Mar 07, 2016 12:48Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mapigano kati ya vikosi vya jeshi la Tunisia na magaidi yaliyotokea kwenye mji Ben Guerdan ulioko karibu na mpaka wa pamoja wa nchi hiyo na Libya.
-
Kuwa tayari Tunisia kukabiliana na ongezeko la machafuko Libya
Feb 14, 2016 10:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia amesema kuwa nchi yake iko tayari kukabiliana na ongezeko la machafuko huko Libya.