-
Bush akosoa siasa za kibaguzi za Donald Trump huko Marekani
Oct 20, 2017 22:57Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush amesema siasa za nchi hiyo hazipasi kujengeka kwenye msingi wa kujitenga, ubaguzi na urongo.
-
Taasisi ya Gallup: Ubaguzi wa rangi Marekani umeongezeka sana, hasa kuwalenga weusi
Aug 29, 2017 22:42Uchunguzi wa maoni uliofanyika hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kwamba, uelewa wa wazungu walio wengi na watu wa matabaka ya walio wachache kuhusu suala la ubaguzi wa rangi, unatafuatiana sana.
-
UN yampongeza Muntari kwa kukosoa ubaguzi wa rangi uwanjani
May 02, 2017 12:03Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amempongeza Sulley Muntari, mchezaji wa klabu ya Pescara ya Italia kwa kuamua kuondoka uwanjani kulalamikia ubaguzi wa rangi dhidi yake.
-
Katibu Mtendaji wa ESCWA ajiuzulu baada ya UN kufuta ripoti inayoitambua Israel kuwa ni utawala wa Apartheid
Mar 17, 2017 23:19Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kiuchumi na Kijamii ya Asia Magharibi katika Umoja wa Mataifa (ESCWA) amejizulu wadhifa wake baada ya Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres kutoa amri ya kufutwa ripoti ya kamati hiyo inayoutambua utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni utawala wa kibaguzi, Apartheid.
-
Tuzo ya filamu ya Oscar 2017 na mafanikio ya filamu ya Forushande (The Salesman)
Mar 05, 2017 05:08Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi cha wiki hii cha Makala ya Wiki ambacho kitatupia jicho sherehe ya tuzo ya filamu ya Oscar nchini Marekani na mafanikio ya filamu ya Forushande (The Salesman) iliyotengenezwa na Muirani. Ni matarajio yetu mtaendelea kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Iran: Sera za kibaguzi za Trump zimeirejesha Marekani katika karne za kati
Jan 28, 2017 04:16Msemaji wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Bunge la Iran amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzuia viza za kuingia Waislamu wakiwemo Wairani katika ardhi ya Marekani ni kielelezo kwamba nchi hiyo imerejea katika zama za karne za kati, kwenye sera za kibaguzi na chuki za kidini na kikaumu.
-
Guterres: Mitazamo inayowabagua Waislamu inahuzunisha sana
Jan 28, 2017 04:15Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema jumuiya hiyo ya kimataifa ina wasiwasi mkubwa kuhusu ubaguzi unaowalenga wahajiri na jamii za waliowachache.
-
Waingereza wenye asili ya Afrika wanabaguliwa katika kazi za uhandisi
Dec 27, 2016 23:20Waingereza weusi au wenye asili ya Afrika wanakabiliwa na ubaguzi katika ajira ambapo wengi wananyimwa kazi kutokana na rangi yao.
-
Jordan avunja kimya, akemea mauaji ya Wamarekani weusi
Jul 26, 2016 12:26Nyota wa zamani wa mchezo wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Michael Jordan amevunja kimya chake kuhusu mauaji yanayofanywa na polisi wazungu wa nchi hiyo dhidi ya Wamarekani weusi na taathira mbaya za mauaji hayo ya kibaguzi.
-
Uchunguzi wa Pew: Wamarekani weusi, wahanga wa ubaguzi wa rangi
Jul 19, 2016 03:29Uchunguzi mpya wa maoni unaonesha kuwa, Wamarekani wengi weusi wanaamini kuwa ni wahanga wa ubaguzi wa rangi.