-
Nukta sita kuhusu uchaguzi wa rais nchini Syria
May 27, 2021 06:35Uchaguzi wa pili wa rais katika muongo mmoja uliopita nchini Syria ulifanyika jana Mei 26. Tunaweza kuashiria nukta kadhaa hapa kuhusu uchaguzi huo.
-
Bashar al-Assad kuwania tena urais Syria katika uchaguzi wa mwezi ujao
Apr 21, 2021 07:08Rais Bashar al-Assad wa Syria leo amekabidhi fomu za kugombea kiti cha urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 26 ya mwezi ujao wa Mei.
-
Bobi Wine ajitangaza mshindi wa uchaguzi wa rais Uganda; Museveni aongoza
Jan 15, 2021 11:21Licha ya matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais nchini Uganda kuonesha kuwa Rais Yoweri Museveni yupo kifua mbele, lakini mgombea mkuu wa upinzani, Bobi Wine tayari ameshajitangaza kuwa mshindi wa uchaguzi huo uliofanyika jana Alkhamisi.
-
Polisi ya Uganda 'yamkamata tena' Bobi Wine na timu yake ya kampeni
Dec 30, 2020 10:38Kwa mara nyingine tena, jeshi la polisi la Uganda limeripotiwa kumtia mbaroni Bobi Wine, kiongozi machachari wa upinzani nchini humo ambaye pia ni mgombea wa urais katika uchaguzi wa mapema mwakani.
-
Wananchi wa Ghana washiriki uchaguzi wa rais; marais wa sasa na wa zamani kuchuana vikali
Dec 07, 2020 08:56Wananchi wa Ghana waliotimiza masharti ya kupiga kura leo walijitokeza mapema katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kumchagua rais, katika uchaguzi unaoelezwa kuwa wenye ushindani mkali.
-
Chadema na ACT Wazalendo vyapinga matokeo ya uchaguzi mkuu Tanzania, Waangalizi wasema ulifuata taratibu
Oct 31, 2020 09:43Vyama vya upinzani nchini Tanzania vya CHADEMA na ACT Wazalendo vimesema kuwa havitambui matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
-
EACJ yatupilia mbali faili la ukomo wa urais nchini Uganda
Sep 30, 2020 10:11Mahakama ya Uadilifu ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali faili lililowasilishwa kwake la kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ya Uganda, wa kuidhinisha mabadiliko ya katiba yalioondoa ukomo wa umri wa kugombea urais katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Wapinzani waendelea kupinga Ouattara kugombea tena urais Ivory Coast
Sep 09, 2020 07:11Wapinzani nchini Kodivaa wamendelea kupinga na kulalamikia hatua ya Rais Alassane Outtara ya kuamua kugombea tena urais nchini humo.
-
Uchaguzi mkuu Burundi wafanyika leo licha ya changamoto ya virusi vya Corona
May 20, 2020 07:04Wananchi wa Burundi waliotimiza masharti ya kupiga kura leo wamejitokeza na kushiriki katika uchaguzi wa Rais na wawakilishi wao wa Bunge licha ya kuweko changamoto mbalimbali kama tishio la virusi vya Corona.
-
Mahakama ya Juu Guinea-Bissau yaitaka tume ya uchaguzi ifafanue hesabu za kura za uchaguzi wa rais
Jan 18, 2020 11:10Matokeo ya uchaguzi wa rais wa Guinea-Bissau yameingia mashakani baada ya Mahakama ya Juu Kabisa ya nchi hiyo kutoa mwito kwa tume ya uchaguzi kutoa ufafanuzi wa hesabu za kura za uchaguzi huo. Wito huo umetolewa saa kadhaa tu baada ya tume hiyo kutangaza matokeo rasmi.