-
Mustakbali wa Algeria baada ya kuapishwa rais mpya
Dec 21, 2019 07:31Baada ya kupita miezi mingi ya mgogoro wa kisiasa na maandamano ya wananchi, hatimaye uchaguzi wa rais umefanyika nchini Algeria na Abdelmadjid Tebboune amechaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
-
Kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa rais Algeria katika kivuli cha maandamano ya upinzani
Dec 14, 2019 11:07Uchaguzi wa Rais Algeria umefanyika katika anga iliyogubikwa na ukosefu wa amani na usalama. Ripoti zinasema nusu ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura ndio walioshiriki kwenye zoezi hilo.
-
Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais Algeria, Abdelmadjid Tebboune anaongoza
Dec 13, 2019 12:01Matokeo ya awali ya uchagauzi wa rais nchini Algeria yanaonesha kuwa waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Abdelmadjid Tebboune anaongoza baada ya kuwapiku wagombea wenzake wanne.
-
Rais wa Ivory Coast: Nitagombea tena urais kwa muhula wa tatu ikiwa marais wa zamani pia watawania
Dec 01, 2019 13:01Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema, atawania tena urais kwa muhula wa tatu mfululizo endapo watangulizi wake pia wataamua kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huo utakaofanyika mwakani, na ambao unatajwa kama kipimo muhimu cha kutathmini uthabiti wa nchi hiyo baada ya kukumbwa na vita vya ndani mara mbili katika karne hii ya 21.
-
Rais Buhari: Nitaachia ngazi muhula wangu wa uongozi ukimalizika
Nov 26, 2019 04:15Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria ametoa hakikisho kwamba, ataachia ngazi mara tu muhula wake wa uongozi utakapomalizika na kwamba, hana mpango wa kubakia madarakani kwa njia yoyote ile.
-
Uchaguzi wa rais Guinea-Bissau wagubikwa na ghasia
Nov 25, 2019 07:51Uchaguzi wa rais nchini Guinea-Bissau umemalizika kwa kushuhudiwa ghasia na mapigano kutokana na upande wa upinzani kuituhumu serikali kuwa imefanya uchakachuaji.
-
Ushindi wa mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi wa Rais nchini Tunisia
Oct 14, 2019 12:34Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais nchini Tunisia ilifanyika jana Jumapili na matokeo yasiyo rasmi yanaonyesha kuwa, mgombea wa kujitegemea Kais Saied ameibuka na ushindi kwa kujipatia asilimia 75 ya kura.
-
Buhari akadhibisha uvumi, asema hatagombea tena kiti cha rais Nigeria
Oct 03, 2019 07:29Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amekadhibisha uvumi unaosambazwa nchini humo kupitia mitandao ya kijamii ukidai kwamba, ana nia ya kugombea tena kiti hicho kwa mara ya tatu.
-
An-Nahdhah yatangaza kumuunga mkono Kais Saied katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Tunisia
Sep 20, 2019 14:54Harakati ya Kiislamu ya An-Nahdhah ya nchini Tunisia imetangaza kuwa, itamuunga mgombea wa kujitegemea Profesa Kais Saied katika duru ya pili ya kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Uchaguzi wa Rais wa Tunisia na changamoto zake
Sep 14, 2019 11:35Wananchi wa Tunisia kesho Jumapili wataelekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa mapema kumchagua rais wao wa baadaye miongoni mwa wagombea 26 wa kiti hicho ikiwa zimepita siku 50 tangu kuaga dunia Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia.