-
Mgombea urais wa Jumapili ya kesho Tunisia aendelea kushikiliwa mahabusu
Sep 14, 2019 03:07Mahakama ya Rufaa ya Tunisia imekataa ombi la mgombea urais katika kinyang'anyiro cha Jumapili ya kesho, Nabil Karoui la kuachiwa huru kwa ajili ya kushiriki katika uchaguzi huo.
-
Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia kugombea kiti cha urais
Aug 07, 2019 01:24Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia wametangaza kuwa watagombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao nchini humo.
-
Tunisia yatangaza rasmi tarehe ya uchaguzi wa Rais
Aug 01, 2019 02:57Viongozi wa Tunisia wametangaza rasmi tarehe 15 mwezi Septemba kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo kufuatia kuaga dunia Rais wa nchi hiyo, Beji Caid Essebsi.
-
Algeria; kuendelea mgogoro au kufanya harakati katika njia ya demokrasia?
Mar 13, 2019 02:25Baada ya wiki kadhaa za malalamiko, maandamanao na kushadidi hali hiyo katika siku za hivi karibuni baada ya Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria kutangaza kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tano mtawalia, hatimaye kiongozi huyo amefutilia mbali uamuzi wake huo.
-
Mamia ya watu watiwa nguvuni Nigeria kwa uhalifu unaohusiana na uchaguzi
Mar 06, 2019 07:25Polisi ya Nigeria imetangaza kuwa, imewatia nguvuni zaidi ya watu 300 kwa tuhuma za kufanya uhalifu unaohusiana na uchaguzi wa mkuu uliofanyika mwezi uliopita.
-
Kushinda tena Urais "Muhammadu Buhari" na kibarua kigumu anachokabiliwa nacho
Feb 28, 2019 02:29Tume ya Uchaguzi ya Nigeria jana ilitangaza rasmi kuwa Muhammadu Buhari ameibuka mshindi baada ya kumbwaga mshindani wake mkuu Atiku Abubakar na hivyo kupata fursa ya kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili.
-
Kambi ya Rais wa Senegal: Macky Sall ameshinda Urais; upinzani wadai uchaguzi utaingia duru ya pili
Feb 25, 2019 15:49Kambi ya Rais wa sasa wa Senegal Macky Sall imetangaza kuwa, mgombea wake ameibuka mshindi kufuatia uchaguzi uliofanyika jana.
-
Kuakhirishwa uchaguzi sambamba na kuongezeka mivutano nchini Nigeria
Feb 17, 2019 13:07Katika hali ambayo uchaguzi mkuu wa rais wa Nigeria ulikuwa umepangwa kufanyika Jumamosi tarehe 16 Februari, tume ya uchaguzi ya nchi hiyo imeuakhirisha ghafla na kutangaza kuwa sasa utafanyika Jumamosi ijayo ya tarehe 23.
-
Congo DR yakataa wito wa AU wa kuchelewesha tangazo la matokeo ya mwisho ya uchaguzi mkuu
Jan 18, 2019 16:16Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekataa wito wa Umoja wa Afrika (AU) wa kuchelewesha kutangaza matokeo ya mwisho ya uchaguzi wa rais, suala ambalo linazidisha shaka kuhusu matokeo ya uchaguzi huo.
-
Uchaguzi wa Kongo DR na kuendelea mivutano ya kisiasa
Jan 12, 2019 18:11Siku ya Alkhamisi Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (CENI) ilimtangaza Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kujinyakulia asilimia 38.57 ya kura.