-
Chama tawala Kongo DR chataka kuangaliwa upya matokeo ya uchaguzi
Jan 10, 2019 16:03Baada ya kushindwa katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais, muungano wa chama tawala huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetangaza kwamba, unayo haki ya kutaka kuangaliwa upya matokeo hayo.
-
Wapinzani Kongo DR walalamikia ukiukwaji mkubwa wa taratibu katika uchaguzi wa rais
Dec 31, 2018 08:05Wagombea wakuu wa upinzani katika uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamedai kuwa uchaguzi wa jana Jumapili ulikumbwa na changamoto nyingi, zikiwemo za kukwama kwa mashine za kupigia kura, mvua kubwa katika maeneo mengi pamoja na machafuko na vurugu.
-
Uchaguzi wa rais ulioakhirishwa kwa muda mrefu waanza Kongo
Dec 30, 2018 08:06Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong leo Jumapili wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa rais ulioakhirishwa kwa muda mrefu nchini humo. Uchaguzi huo wa leo huwenda ukawa wa kwanza wa kukabidhiana madaraka kwa njia ya kidemokrasia katika nchi hiyo iliyokumbwa na machafuko.
-
Wapinzani Madagascar wataka kura za uchaguzi wa rais zihesabiwe tena
Dec 30, 2018 03:20Wafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo wakitaka kuhesabiwa tena kura za uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni nchini humo.