-
Bunge la 11 la Iran lafunguliwa kwa hotuba ya Kiongozi Muadhamu
May 27, 2020 03:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelitaka Bunge la 11 la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lililoanza shughuli zake leo Jumatano kuelekeza darubini na kujikita zaidi katika masuala ya uchumi wa kimuqawama na utamaduni.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; kupatiwa ufumbuzi matatizo ya kiuchumi kwa kuweko ushirikiano
Oct 12, 2018 04:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika mazungumzo yake na wakuu wa mihimili mikuu mitatu ya dola kuhusiana na masuala ya uchumi kwamba, matatizo ya kiuchumi hapa nchini yanatokana na changamoto za ndani na muundo wa kiuchumi hapa nchini huku matatizo mengine yakisababishwa na vikwazo vya kidhulma vya Marekani.
-
Uzalishaji mafuta nchini Iran warejea katika kiwango cha kabla ya vikwazo
Oct 17, 2016 23:39Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya kuanza utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia baina ya Iran na kundi la 5+1 ambayo ni maarufu kwa jina la makubaliano ya JCPOA, uzalishaji wa mafuta wa Iran umekaribia kiwango cha kabla ya vikwazo, yaani mapipa milioni nne na laki mbili kwa siku.
-
IMF: Uchumi wa Iran unastawi kwa kasi baada ya JCPOA
Oct 04, 2016 01:15Mfuko wa Fedha Duniani IMF umesema uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unakuwa kwa kasi kubwa kufuatia kutekelezwa kwa makubaliano ya nyuklia unaofahamika kama Mpango Kamili ya Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Salehi: Uchumi wa Iran unategemea uwezo wa ndani na unaelekea kwenye kilele cha ustawi
Sep 30, 2016 00:58Makamu wa Rais wa Iran, ambaye pia ni Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki amesema uchumi wa taifa hili unategemea uwezo wa ndani na unaelekea kwenye kilele cha ustawi.
-
Velayati: Marekani na Saudia zinavunja sheria kwa kuingilia mambo ya ndani ya Syria
Aug 13, 2016 22:34Mkuu wa kituo cha utafiti wa kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, Marekani na Saudi Arabia zinaingilia mambo ya ndani ya Syria bila ya idhini ya serikali ya nchi hiyo na kwamba uwepo wa nchi hizo huko Syria ni kinyume cha sheria.
-
Iran: Dunia iungane katika vita dhidi ya ugaidi
Apr 29, 2016 23:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeonya kuhusu kuenea ugaidi na misimamo mikali duniani na kusema jamii ya kimataifa inapasa kushirikiana kukabiliana na uovu huo.
-
Ali Tayyebnia: Mazingira yameandaliwa ya kustawishwa uhusiano kati ya Iran na Afrika Kusini
Apr 23, 2016 11:40Waziri wa Uchumi na Hazina wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kumeandaliwa mazingira mazuri kwa ajili ya kustawishwa uhusiano kati ya Iran na Afrika Kusini katika nyanja mbalimbali.
-
Rais Rouhani asisitiza kutekelezwa sera za Uchumi wa Muqawama
Mar 21, 2016 23:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa serikali yake itatekeleza sera za Uchumi wa Muqawama.
-
Rouhani: Uchumi wa Iran kustawi kwa 5%
Mar 20, 2016 12:16Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi hii inalenga kuwa na ustawi wa kiuchumi wa asilimia tano katika mwaka mpya wa Kiirani ulioanza Machi 20.