-
Kuendelea maandamano nchini Ufaransa; Macron aweka vikwazo dhidi ya mitandao ya kijamii
Jul 06, 2023 05:35Zaidi ya wiki moja imepita tangu maandamano yaanze huko Ufaransa na sasa serikali ya nchi hiyo ya Ulaya imeweka ksheria kali dhidi ya mitandao ya kijamii. Kuhusiana na hilo, viongozi wa Ufaransa wameituhumu mitandao ya kijamii ya Tik Tok, Snapchat na majukwaa mengine ya kijamii kuwa inachochea machafuko ambayo yameenea nchini baada ya afisa mmoja wa polisi kumpiga risasi na kumuua kijana mwenye umri wa miaka 17.
-
Rais wa Azerbaijan: Ufaransa inaendeleza ukoloni mamboleo
Jul 05, 2023 22:48Rais Ilham Aliyev wa Azerbaijan amesema Ufaransa ni moja ya nchi ambazo zinaendelea kung'angania na kutekeleza sera ya ukoloni mamboleo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia atahadharisha kuenea ghasia za Ufaransa katika nchi nyingine
Jul 04, 2023 00:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia amesisitiza kuwa nchi za Ulaya zinapasa kubuni sera ili kuzuia machafuko yaliyoigubika Ufaransa kuenea katika nchi nyingine.
-
Ubaguzi wa rangi; Mgogoro mkubwa barani Ulaya
Jul 03, 2023 04:44Kuendelea na kushadidi sera za ubaguzi umekuwa mgogoro mkubwa wa kisiasa na kijamii barani Ulaya, kiasi kwamba katika miezi ya hivi karibuni raia wengi wa Ulaya wametoa wito wa kukomeshwa sera hizo kwa kufanya mikutano na maandamano.
-
Kufikia tamati jukumu la kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali
Jul 02, 2023 23:11Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa kauli moja uamuzi wa kuhitimisha uwepo wa kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa nchini Mali (MINUSMA).
-
Iran yaitaka serikali ya Ufaransa iache kuwakandamiza waandamanaji
Jul 02, 2023 04:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Polisi ya Ufaransa inapaswa kujizuia kutumia mabavu dhidi ya waandamanaji wanalalamikia kuuawa kijana wa miaka 17 mikononi mwa polisi
-
Burkina Faso yasimamisha matangazo ya kanali ya LCI ya Ufaransa
Jul 01, 2023 06:23Serikali ya Burkina Faso imesimamisha kwa muda matangazo ya kanali ya habari ya Kifaransa ya LCI kwa madai ya kutangaza habari za uwongo na upotoshaji.
-
Mgogoro na machafuko vyaendelea nchini Ufaransa, wananchi wapinga ukatili na ubaguzi wa rangi
Jul 01, 2023 06:07Kuendelea mgogoro wa kijamii na machafuko yaliyoenea nchini Ufaransa kumeibua hisia tofauti katika ngazi ya viongozi na wanasiasa wa nchi hiyo, na katika ngazi ya Ulaya na dunia nzima kwa ujumla.
-
Ufaransa yapiga marufuku hijabu katika mashindano ya soka
Jun 30, 2023 04:09Mahakama Kuu ya Utawala nchini Ufaransa imetoa kibali kwa Shirikisho la Soka la nchi hiyo cha kupiga marufuku vazi la hijabu katika mashindano ya soka ya wanawake.
-
Afisa wa Yemen: Tulikomesha wizi wa mafuta uliofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa
Jun 28, 2023 09:45Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Kitaifa ya Wokovu wa Yemen amejibu kauli iliyotolewa na mabalozi wa Ufaransa, Uingereza na Marekani akisisitiza kuwa, kinyume na madai yaliyotolewa katika taarifa yao, Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen haikuzuia mauzo ya mafuta nje ya nchi, lakini ilizuia wizi wa bidhaa hiyo.