-
Nchi za Ulaya zaendelea kuondoa wanajeshi wao 'vamizi' Mali
Feb 15, 2022 23:09Waziri wa Ulinzi wa Estonia amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Ulaya imekata shauri ya kuwaondoa wanajeshi wake nchini Mali, na hivyo kuwa nchi ya hivi punde zaidi ya Ulaya kuchukua hatua hiyo baada ya Denmark.
-
Ufaransa kuondoka Mali, yasema itasalia katika eneo la Sahel Afrika
Feb 15, 2022 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Jean-Yves Le Drian ametangaza kuwa wanajeshi wa nchi hiyo wataendelea kupambana na kile alichokitaja kuwa 'ugaidi' katika eneo la Sahel na si nchini Mali.
-
Mahakama ya Ufaransa yakataa kumuachilia huru 'Nelson Mandela wa Kiarabu' Georges Abdallah + Video
Feb 11, 2022 23:29Mwanamapambano anayeunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina na shujaa wa kimataifa Georges Ibrahim Abdallah kwa mara nyingine tena amenyimwa uhuru wake na mahakama za Ufaransa.
-
UAE inaiba nishati ya Yemen ili ipate fedha za kulipia silaha za Ufaransa
Feb 06, 2022 23:11Umoja wa Falme za Kiarabu umeripotiwa kuiba rasilimali za nishati ya Yemen ili upate fedha za kufadhili makubaliano ya mauzo ya silaha ya mabilioni ya dola uliofunga na Ufaransa.
-
Malalamiko ya Waziri Mkuu wa Mali dhidi ya uungaji mkono wa Ufaransa kwa magenge ya kigaidi
Feb 06, 2022 23:06Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Kokalla Maiga, ameishutumu serikali ya kikoloni ya Ufaransa kwa vitendo vyake vilivyo dhidi ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na kusema kuwa, Wafaransa walipaswa kutusaidia, lakini badala yake wanayasaidia magenge ya kigaidi yanayopigania kujitenga na wanazichochea nchi za Ulaya ziiwekee vikwazo nchi ya Mali.
-
Maiga: Ufaransa, chimbuko la matatizo yote ya kiusalama, kiuchumi Mali
Feb 06, 2022 09:00Waziri Mkuu wa Mali amesema Ufaransa ndiyo sababu ya matatizo mbalimbali ya kiusalama na kiuchumi yanaoisumbua nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Macron: Unafiki wa Uingereza usababisha vifo vya wahamiaji katika Mfereji wa Manchi
Feb 03, 2022 04:34Kufuatia mzozo wa London na Paris kuhusu mgogoro wa wakimbizi, Rais wa Ufaransa ameilaumu Uingereza kuwa ndiyo inayosababisha vifo vya wahamiaji katika maji ya Mfereji wa Manchi kutokana na kukataa kutoa njia ya kisheria kwa wahamiaji hao.
-
Marais wa Algeria na Ufaransa wazungumza baada ya miezi kadhaa ya mizozo ya kidiplomasia
Jan 31, 2022 00:36Rais Abdelmajid Tebboune wa Algeria amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mwenzake wa Ufaransa, Emmanuel Macron, baada ya miezi kadhaa ya mivutano ya kidiplomasia baina ya pande hizo mbili.
-
Tamasha la sanaa Ufaransa lafutiwa ruzuku kwa mchoro wa hijabu
Jan 30, 2022 04:31Serikali ya jimbo la Auvergne-Rhone-Alpes nchini Ufaransa imelisimamishia ruzuku kundi moja la wasanii wanaoandaa tamasha la sanaa mjini Grenoble, kwa kujumuisha mchoro wa mwanamke aliyevaa hijabu katika kazi zao.
-
Marais wa Iran na Ufaransa wajadili suala la kuondolewa vikwazo Tehran
Jan 29, 2022 23:56Rais wa Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuondolewa vikwazo wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu, katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Ufaransa.