-
Mali yapuuza miito ya Ulaya ya kutaka askari wa Denmark wabaki nchini humo
Jan 27, 2022 04:23Mali imesisitiza kuwa Denmark inapaswa kuondoa wanajeshi wake mara moja katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi ambao walitumwa nchini humo kama sehemu ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Ufaransa, licha ya nchi za Ulaya kuiasa iangalie upya msimamo wake huo.
-
Mgombea urais Ufaransa kupiga marufuku majina ya "Muhammad", misikiti na vazi la hijabu
Jan 26, 2022 00:44Mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa, Éric Zemmour, ametangaza ajenda na mipango yake kuhusu dini ya Kiislamu, ambayo amesema ataitekeleza iwapo ataingia Ikulu ya Elysee.
-
Askari mla watu akamatwa nchini Ufaransa kabla ya kumla mhanga wake
Jan 25, 2022 07:43Polisi wa Ufaransa wanasema kuwa wamemkamata mwanajeshi mwenye historia ya kufanya uhalifu kabla ya kumuwinda ajuza mmoja kwa ajili ya kula nyama yake.
-
Kambi ya jeshi la Ufaransa nchini Mali yashambuliwa, kadhaa wauawa, kujeruhiwa
Jan 23, 2022 23:12Kwa akali askari mmoja wa Ufaransa ameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhuwa katika shambulio la roketi dhidi ya kambi ya kijeshi ya nchi hiyo ya Ulaya huko kaskazini mwa Mali.
-
Mali yataka mkataba wa ushirikiano wake wa kijeshi na kiulinzi na Ufaransa upitiwe upya
Jan 20, 2022 23:46Serikali ya Mali inapanga kupitia upya mkataba wa ushirikiano wa kijeshi na kiulinzi kati yake na Ufaransa. Mkataba huo kati ya nchi hizo mbili ulitiwa saini mwaka 2014 na kuanzisha operesheni Barkhane ili kuisaidia Mali kupambana na makundi ya kigaidi.
-
Maseneta wa Ufaransa wapasisha mpango wa kupiga marufuku hijabu michezoni
Jan 20, 2022 04:43Baraza la Seneti la Ufaransa limepiga kura na kupasisha sheria inayopiga marufuku uvaaji wa vazi la stara na heshima la hijabu katika mashindano ya michezo.
-
Macron: Ufaransa itakabiliwa na hali ngumu sana katika wiki kadhaa zijazo
Jan 01, 2022 04:45Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametahadharisha kuwa, nchi hiyo itakabiliana na hali ngumu katika kipindi cha wiki kadhaa zijazo.
-
Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran: Ufaransa irekebishe sheria zinazowapiga vita Waislamu
Dec 19, 2021 04:47Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran ameitaka Ufaransa itazame upya sheria zake zilizodhidi ya Waislamu.
-
Makaburi ya Waislamu Ufaransa yabomolewa na makundi yenye misimamo mikali
Dec 13, 2021 03:59Chuki dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa zinazidi kuongezeka baada ya makaburi ya Waislamu kushambuliwa na makundi yenye misimamo ya kufurutu mpaka.
-
Emmanuel Macron ashutumiwa kwa kujaribu 'kumsafisha' Mohammed bin Salman
Dec 04, 2021 23:33Mashirika ya kutetea haki za binadamu yamekosoa mkutano wa Rais Emmanuel Macron na Ufaransa na mriti wa ufalme wa Saudia Mohammed bin Salman jana Jumamosi huko Riyadh yakisisitiza kuwa mkutano huo una lengo la kumsafisha mrithi huo wa ufalme wa Saudia aliyeamuru kuuawa kigaidi mwandishi habari jamal Khashoggi.