-
Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria
Jan 02, 2025 06:48Rais William Ruto wa Kenya kwa mara ya kwanza amekiri hadharani matumizi mabaya ya mamlaka yanayofanywa na vikosi vya usalama, kufuatia wimbi la utekaji nyara wenye utata ambao umezua maandamano makubwa ya upinzani nchini humo.
-
Ufaransa yaondoa ndege zake za kivita huko Chad baada ya kutofikia muafaka na uongozi wa nchi hiyo
Dec 11, 2024 07:27Ufaransa jana Jumanne iliondoa ndege zake za kivita huko Chad baada ya kushindwa kufikia muafaka na serikali ya nchi hiyo.
-
Idadi ya wafungwa Ufaransa yavunja rekodi huku wasiwasi wa msongamano ukiongezeka
Dec 02, 2024 02:37Wasiwasi umeibuka katika magereza ya Ufaransa baada ya idadi ya wafungwa kuongezeka na kuibua wasiwasi wa kutokea msongamano katika magereza ya nchi hiyo.
-
Mwisho wa uwepo wa jeshi la Ufaransa nchini Chad
Dec 02, 2024 02:37Serikali ya Chad imetangaza kukomesha makubaliano yake ya ushirikiano wa kijeshi na Ufaransa na kutangaza kuwa vikosi vya jeshi la nchi hiyo vinapaswa kuondoka nchini Chad.
-
Waziri wa zamani wa vita wa Israel: Tunachofanya kaskazini ya Ghaza ni "maangamizi ya kizazi"
Dec 01, 2024 06:15Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Yaalon amesema, utawala huo unafanya "maangamizi ya kizazi" kaskazini ya Ukanda wa Ghaza, akimshutumu waziri mkuu Benjamin Netanyahu kwa kuielekeza Israel kwenye "uharibifu."
-
Chad yakata uhusiano wa kijeshi na Ufaransa
Nov 29, 2024 07:15Chad imehitimisha makubaliano iliyofikia na Ufaransa kwa lengo la kuimarisha ushirikiano katika nyanja za usalama na ulinzi kati ya nchi mbili.
-
Kuingia vita vya Ukraine katika hatua mpya na kuzidisha mzozo kati ya Russia na NATO
Nov 24, 2024 02:26Matukio ya hivi karibuni katika vita vya Ukraine, yaani uamuzi wa nchi za Magharibi wa kutoa ruhusa kwa Ukraine kuishambulia Russia kwa kutumia silaha za masafa marefu za Marekani na Ulaya kwa upande mmoja, na Russia kutumia w kombora jipya la masafa ya kati lenye kasi ya zaidi ya sauti dhidi ya Ukraine kama tahadhari kali kwa Magharibi, kumeibua mgogoro mkubwa na usio na kifani kati ya Russia na NATO.
-
Hatua mpya ya Wamagharibi ya kuchochea moto wa vita vya Ukraine
Nov 18, 2024 11:13Rais wa Marekani, Joe Biden ameripotiwa kuidhinisha Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Kimarekani kulenga shabaha ndani ya mipaka ya Russia ya kabla ya 2014. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya jana Jumapili iliyotolewa na gazeti la New York Times likiwanukuu maafisa wa Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao.
-
Russia yaitahadharisha Ufaransa kuhusu kutuma makombora Ukraine
Nov 15, 2024 03:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ametahadharisha kuhusu Ufaransa kutuma makombora nchini Ukraine.
-
Ufaransa yamkamata mwanaharakati anayepinga ukoloni Afrika
Oct 16, 2024 07:09Mwanaharakati na mwanamajimui mashuhuri wa kupinga ukoloni mamboleo barani Afrika, Stellio Gilles Robert Capo Chichi, maarufu kama Kemi Seba, amekamatwa nchini Ufaransa.