-
Viongozi wa EU wajitenga baada ya kutagusana na Macron mwenye Covid-19
Dec 18, 2020 04:18Idadi kubwa ya viongozi wa Umoja wa Ulaya wamejiweka karantini baada ya kutangamana na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye pia amejitenga kwa muda wa siku saba baada ya kukutwa na virusi vya corona.
-
France 24 yakosoa undumakuwili wa Macron kuhusu haki za binadamu
Dec 12, 2020 22:16Serikali ya Ufaransa inaendelea kukosolewa kwa kuchukua misimamo inayokinzana na madai yake ya kutetea haki za binadamu kutokana na kuonyesha undumakuwili juu ya suala hilo kwa kuendelea kuziuzia silaha tawala kandamizi.
-
Sheria iliyo dhidi ya Uislamu yapasishwa nchini Ufaransa
Dec 10, 2020 23:24Serikali ya Ufaransa imepasisha sheria mpya ya kuzidi kuwabana na kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo.
-
Safari ya Rais wa Misri nchini Ufaransa na kupamba moto upinzani na malalamiko dhidi yake
Dec 09, 2020 21:58Safari ya hivi karibuni ya Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri nchini Ufaransa na mazungumzo aliyofanya na Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo vimeibua hasira na malalamiko ya waungaji mkono wa haki za binadamu.
-
Waziri Mkuu wa Pakistan apendekeza Ulimwengu wa Kiislamu uvunje uhusiano na Ufaransa
Dec 08, 2020 23:07Vyombo vya habari vya Pakistan vimetangaza kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Imran Khan ametoa pendekezo la kuvunjwa uhusiano wa nchi za Kiislamu na Ufaransa.
-
Rais wa Misri atupiwa lawama nyingine
Dec 08, 2020 03:58Mashirika mengi ya haki za binadamu yamemtupia lawama chungu nzima Rais Abdel Fattah el Sisi wa Misri wakati huu wa ziara yake mjini Paris, Ufaransa.
-
Polisi ya Ufaransa yatumia mkono wa chuma kukandamiza maandamano ya wananchi
Dec 06, 2020 08:21Maelfu ya waandamanaji nchini Ufaransa wamekabiliana na polisi kwenye mji mkuu wa nchi hiyo Paris, haya yakiwa ni maandamano mapya kupinga muswada wa sheria tata kuhusu usalama.
-
Yamkini Misikiti 76 ikafungwa Ufaransa katika kampeni dhidi ya Waislamu
Dec 04, 2020 08:34Serikali ya Ufaransa imetangaza mpango mkubwa na ambao haujawahi kushuhudiwa wa kufanya upekuzi katika misikiti ya nchi hiyo.
-
Serikali ya Ufaransa yafutilia mbali muswada wa marufuku ya kupigwa picha polisi
Dec 02, 2020 23:07Serikali ya Ufaransa imefutilia mbali muswada iliokuwa umeuwasilisha bungeni kwa ajili ya kupiga marufuku upigwaji picha maafisa wa polisi wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao, na hilo limetokana na ukosolewaji mkali uliofanywa dhidi ya utendaji wa jeshi la polisi.
-
Maandamano makubwa ya kupinga vitendo vya polisi vya utumiaji mabavu na ubaguzi nchini Ufaransa
Nov 30, 2020 23:05Kufuatia kuongezeka migogoro ya kijamii na kisiasa nchini Ufaransa katika miezi ya hivi karibuni, kumeshuhudiwa ongezeko la vitendo vya polisi vya utumiiaji mabavu na ubaguzi wa rangi. Maovu hayo ya polisi ya Ufaransa yamepelekea kuibuka maandamano makubwa ya wananchi wanaolalamikia hali hiyo.