-
Erdogan: Rais wa Ufaransa apimwe uwezo wake wa kiakili baada ya matamshi yake dhidi ya Waislamu
Oct 25, 2020 09:21Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa Rais wa Ufaransa, Emanue Macron, anahitaji kupimwa uwezo wake wa kiakili baada ya matamshi ya kibaguzi aliyotoa karibuni kuhusu dini ya Uislamu.
-
Waislamu waandamana Paris kulaani vitendo vya uchupaji mipaka
Oct 24, 2020 23:41Waislamu kadhaa wanaoishi nchini Ufaransa wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Paris lengo likiwa ni kulaani vitendo vya ghasia na uchupaji mipaka.
-
OIC yasikitishwa na maafisa wa Ufaransa kumtusi Mtume Muhammad (SAW)
Oct 24, 2020 04:08Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya maafisa wa serikali ya Ufaransa ya kuendelea kumtusi na kumvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
-
Ufaransa yalaumiwa kwa kuficha tukio la kudungwa visu Waislamu 2 kwenye Mnara wa Eiffel, al Azhar yaalani
Oct 22, 2020 23:31Mashambulizi na hujuma dhidi ya Waislamu nchini Ufaransa yameongezeka katika siku chache za hivi karibuni kwa kisingizio cha kupambana na "misimamo mikali".
-
Waislamu wafukuzwa Ufaransa kwa kisingizio cha kupambana na misimamo mikali
Oct 19, 2020 22:59Mwenendo wa kuenezwa chuki na kejeli dhidi ya itikadi za Kiislamu umekuwa ukiongezeka kwa kasi kubwa nchini Ufaransa katika miaka ya karibuni.
-
Ufaransa kuwafukuza mamia ya Waislamu kwa kisingizio cha "harakati za kuchupa mipaka"
Oct 19, 2020 11:57Serikali ya Ufaransa imekusudia kuwafukuza Waislamu wapatao 231 wanaoishi nchini humo kwa madai ya kujihusisha na vitendo vya kupindukia mpaka.
-
Ufaransa yamshambulia na kumtia mbaroni kiongozi wa taasisi ya Kiislamu
Oct 16, 2020 04:17Polisi ya Ufaransa imevamia nyumba ya kiongozi wa asasi moja isiyo ya kiserikali ya Waislamu wa nchi hiyo na kumtia mbaroni, katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa hujuma dhidi ya Uislamu na Waislamu wa nchi hiyo ya Ulaya.
-
Serikali ya Ufaransa yafunga baadhi ya misikiti nchini humo
Oct 15, 2020 01:05Serikali ya Ufaransa imeamua kufunga baadhi ya misikiti nchini humo ikiwa ni katika hatua zake dhidi ya dini tukufu ya Kiislamu na Waislamu.
-
Janga la Corona na watu wasio na makazi huko Paris
Oct 12, 2020 04:44Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni, hadi kufikia sasa asilimia 40 ya watu wasio na makazi huko Paris mji mkuu wa Ufaransa wameambukizwa corona baada ya janga la corona kuithiri nchi hiyo.
-
Wanazuoni wa Kiislamu Iran walaani pendekezo dhidi ya Uislamu la serikali ya Ufaransa
Oct 10, 2020 08:40Jumuiya ya Wahadhiri katika Chuo cha Kiislamu cha Qum, nchini Iran imelaani vikali pendekezo la serikali ya Ufaransa la kuweka vizingiti katika harakati za Kiislamu nchini humo.