Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Waislamu Ufaransa walaani makala iliyopotosha Qur'ani tukufu

    Waislamu Ufaransa walaani makala iliyopotosha Qur'ani tukufu

    Apr 24, 2018 11:59

    Waislamu nchini Ufaransa wamelaani vikali kitendo cha kuchapishwa makala iliyovunjia heshima na kupotosha kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini humo.

  • Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi

    Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi

    Apr 23, 2018 00:09

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo kuu la Iran endapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni kuanzisha tena shughuli za nyuklia za taifa hili zenye malengo ya amani lakini kwa kiwango cha juu na cha kisasa zaidi.

  • Macron: Ufaransa haina mpango mwingine mbadala wa makubaliano ya JCPOA

    Macron: Ufaransa haina mpango mwingine mbadala wa makubaliano ya JCPOA

    Apr 22, 2018 23:32

    Rais wa Ufaransa ameashiria kuwa Paris haina mpango mwingine mbadala wa makubaliano ya JCPOA na kuitaka Marekani isalie katika makubaliano hayo ya pamoja na Iran.

  • Rais Assad arejesha nishani aliyopewa na 'Mtumwa wa Marekani'

    Rais Assad arejesha nishani aliyopewa na 'Mtumwa wa Marekani'

    Apr 20, 2018 02:54

    Rais Bashar al Assad wa Syria amerejesha nishani bora zaidi ya Ufaransa aliyotunukiwa na Rais Jacques Chirac mwaka 2001 na kusema hawezi kubakia na zawadi ya nchi ambayo ni mtumwa wa Marekani na ambayo imedondosha mabomu Syria.

  • Indhari ya Ufaransa juu ya kutokea vita vya ndani barani Ulaya

    Indhari ya Ufaransa juu ya kutokea vita vya ndani barani Ulaya

    Apr 19, 2018 21:09

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amehutubia bunge la Ulaya na kutoa indhari juu ya kutokea vita vya ndani barani humo.

  • Watu 23 wameuawa na kujeruhiwa katika shambulio la silaha kaskazini mwa Mali

    Watu 23 wameuawa na kujeruhiwa katika shambulio la silaha kaskazini mwa Mali

    Apr 16, 2018 03:28

    Watu 16 wameuawa na wengine saba wamejeruhiwa katika shambulizi la genge moja lenye silaha kaskazini mwa Mali.

  • Wanasiasa wa Ufaransa walaani kushiriki Macron katika mashambulizi dhidi ya Syia

    Wanasiasa wa Ufaransa walaani kushiriki Macron katika mashambulizi dhidi ya Syia

    Apr 14, 2018 23:29

    Hatua ya Ufaransa ya kushiriki katika mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Syria imekabiliwa na wimbi la malalamiko kutoka kwa wanasiasa wa nchi hiyo.

  • Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria

    Iran, Russia zatoa onyo kali baada ya US, UK na Ufaransa kuvurumisha makombora Syria

    Apr 14, 2018 02:45

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimelaani vikali mashambulizi ya makombora ya Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria huku zikitoa onyo kali juu ya matokeo mabaya ya hujuma hiyo ya kijeshi dhidi ya nchi huru.

  • Iran yaionya Ufaransa isikubali kulaghaiwa na Bin Salman kuhusiana na Syria

    Iran yaionya Ufaransa isikubali kulaghaiwa na Bin Salman kuhusiana na Syria

    Apr 13, 2018 00:06

    Bahram Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, viongozi wa serikali ya Ufaransa wanapaswa kuwa macho na wasikubali kurubuniwa na madai ya uongo na propaganda za Mohammad bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia ambaye ni mwanagenzi sana katika masuala ya siasa na vita.

  • Mrithi wa Ufalme wa Saudia kushtakiwa kutokana na jinai za Saudia dhidi ya Yemen

    Mrithi wa Ufalme wa Saudia kushtakiwa kutokana na jinai za Saudia dhidi ya Yemen

    Apr 10, 2018 12:21

    Wakili mmoja wa haki za binadamu nchini Yemen, amewasilisha mashtaka katika mahakama ya Ufaransa akitaka mrithi wa ufalme wa Saudia Mohammad bin Salman apandishwe kizimbani kutokana na jinai zake dhidi ya watu wa Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS