Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Safari ya Rais wa Ufaransa huko Niger

    Safari ya Rais wa Ufaransa huko Niger

    Dec 23, 2017 09:14

    Rais wa Ufaransa amewasili Niger kwa lengo la kukutana na wanajeshi wa nchi hiyo na kuchunguza hali ya mambo katika nchi za magharibi mwa Afrika.

  • Ufaransa: Bashar al-Assad haendi popote, ataendelea kuongoza

    Ufaransa: Bashar al-Assad haendi popote, ataendelea kuongoza

    Dec 18, 2017 03:56

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema hali halisi ya Syria ni kwamba Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo ya Kiarabu ataendelea kubakia madarakani kwa kuwa wapinzani wake wameshindwa 'katika mapambano ya ardhini'.

  • Msimamo wa undumakuwili wa Ufaransa kuhusiana na Saudi Arabia

    Msimamo wa undumakuwili wa Ufaransa kuhusiana na Saudi Arabia

    Dec 01, 2017 03:51

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alitangaza siku ya Jumatano kuwa Saudi Arabia inapaswa ikatishe ufadhili wake wa kifedha kwa makundi ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Macron aitaka Saudia iache kuyafadhili kifedha makundi ya kigaidi

    Macron aitaka Saudia iache kuyafadhili kifedha makundi ya kigaidi

    Nov 30, 2017 12:49

    Rais wa Ufaransa amesema kuwa Saudi Arabia inapasa kuacha kuyafadhili kifedha makundi ya kigaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 18 na sauti

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 18 na sauti

    Nov 29, 2017 08:42

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 18 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.

  • Rais wa Ufaransa akaribishwa Burkina Faso kwa shambulizi la guruneti

    Rais wa Ufaransa akaribishwa Burkina Faso kwa shambulizi la guruneti

    Nov 28, 2017 04:09

    Kwa akali watu watatu wamejeruhiwa katika shambulizi la guruneti nchini Burkina Faso, lililofanyika masaa machache kabla ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuanza ziara ya kuitembelea nchi hiyo ya Kiafrika.

  • Safari ya Rais wa Ufaransa barani Afrika na uhusiano wa pande hizo mbili

    Safari ya Rais wa Ufaransa barani Afrika na uhusiano wa pande hizo mbili

    Nov 28, 2017 04:03

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika kwa shabaha ya kuzidisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi baina ya nchi yake na nchi za bara hilo.

  • AU: Ulaya unahusika katika matatizo yanayolikumba bara la Afrika

    AU: Ulaya unahusika katika matatizo yanayolikumba bara la Afrika

    Nov 24, 2017 00:49

    Mwenyekiti wa hivi sasa wa Umoja wa Afrika, Rais Alpha Condé wa Guinea Conakry amesema kuwa, Umoja wa Ulaya unahusika katika sehemu ya matatizo yanayolikabili bara la Afrika.

  • Serikali ya Ufaransa yawawekea Waislamu vizuizi vipya wasiweze kusali Sala ya Ijumaa katika mji wa Paris

    Serikali ya Ufaransa yawawekea Waislamu vizuizi vipya wasiweze kusali Sala ya Ijumaa katika mji wa Paris

    Nov 20, 2017 04:15

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Gerard Collomb amesema ni marufuku kusali Sala la Ijumaa katika eneo la Clichy kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Paris.

  • Hariri: Nitaeleza kwa upana matukio ya hivi karibuni baada ya kukutana na Rais Michel Aoun

    Hariri: Nitaeleza kwa upana matukio ya hivi karibuni baada ya kukutana na Rais Michel Aoun

    Nov 19, 2017 00:25

    Saad Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon ambaye kwa sasa yuko nchini Ufaransa akitokea Saudia, amesema kuwa, ataeleza kwa upana matukio ya hivi karibuni baada ya kukutana na Rais Michel Aoun mjini Bairut.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS