-
Makumi ya wanakijiji wauawa na magaidi kaskazini mwa Msumbiji
Apr 22, 2020 08:27Jeshi la Polisi la Msumbiji limetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu katika shambulizi jipya la kigaidi lililotokea huko kaskazini mwa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Wakati dunia imezongwa na corona, Marekani yawapelekea shehena za silaha magaidi nchini Syria
Mar 30, 2020 23:15Katika hali ambayo dunia imehamanika kutokana na janga la kirusi hatari cha corona, ndio kwanza dola la kibeberu na kiistikbari la Marekani linawatumia shehena za silaha magaidi huko nchini Syria.
-
Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umegeuka na kuwa ugaidi wa kimatibabu
Mar 07, 2020 23:15Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Rais Donald Trump ameshadidisha vikwazo haramu vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya Iran kwa lengo la kufyonza rasilimali za taifa hili zinazohitajika kwa ajili ya kupambana na virusi hatari vya Corona.
-
Wasiwasi wa Iran juu ya kushadidi machafuko katika eneo la magharibi mwa Asia
Feb 29, 2020 05:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kuhusiana na yanayojiri katika eneo la Idlib nchini Syria na kueleleza wasiwasi wa Tehran kuhusu uwezekano wa kushadidi zaidi mivutano na machafuko katika eneo hilo. Taarifa hiyo pia imelaani hatua zinazofanywa na pande nyingine kwa ajili ya kukwamisha mwenendo wa mazungumzo ya Astana.
-
Magaidi 120 wauawa kusini magharibi mwa Niger
Feb 22, 2020 03:53Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza habari ya kuuawa magaidi 120 na kutekwa magari na vifaa vyao vya kutengenezea mabomu katika operesheni maalumu iliyofanywa na wanajeshi wa nchi hiyo katika eneo la kusini magharibi mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Makundi yenye silaha yaendelea kumwaga damu Nigeria
Feb 18, 2020 04:35Watu waliojizatiti kwa silaha wameshambulia jimbo la Delta kusini mwa Nigeria na kuua watu 10. Mashuhuda wanasema waliotekeleza ukatili huo walikuwa wamevalia magwanda ya kijeshi.
-
Jeshi la Syria: Tutang'oa mizizi ya ugaidi wa ukufurishaji
Feb 17, 2020 22:09Jeshi la Syria sambamba na kuashiria kukombolewa makumi ya vijiji na miji ya kaskazini magharibi mwa nchi hiyo, limesisitiza kuendeleza mapambano yake kwa ajili ya kuung'oa ugaidi wa ukufurishaji.
-
Wakazi wa mkoa wa al Hasakah Syria waanzisha mapambano ya kuwafukuza wanajeshi wa Marekani
Feb 13, 2020 23:10Gavana wa mkoa wa al Hasakah nchini Syria amezitaja hatua za mapambano zilizochukuliwa na raia wa vijiji kadhaa vya mkoa huo dhidi ya wanajeshi wa Marekani kuwa ni kuanza kwa mapambano ya wananchi ya kuwafukuza wanajeshi vamizi wa Marekani huko Syria.
-
Rais wa Mali: Serikali iko tayari kuzungumza na makundi ya kigaidi
Feb 11, 2020 08:42Rais Ibrahim Boubacar Keita wa Mali amesema serikali yake iko tayari kukutana na kufanya mazungumzo na makundi ya kigaidi kwa shabaha ya kumaliza jinamizi la ugaidi ambalo mbali na kuchochea mapigano ya kikabila, pia limeifanya nchi hiyo ishindwe kutawalika na kustawi.
-
Rouhani: Vikwazo vya madawa vya Marekani dhidi ya taifa la Iran ni kitendo cha kigaidi
Feb 06, 2020 04:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka sheria na kanuni za kimataifa na maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kuongeza kuwa, vikwazo hivyo ni hatua ya kigaidi.