• Syria: Ugaidi wa kiuchumi ni mwendelezo wa ugaidi wa kifizikia

    Syria: Ugaidi wa kiuchumi ni mwendelezo wa ugaidi wa kifizikia

    Jan 30, 2020 09:59

    Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa ugaidi wa kiuchumi ni mwendelezo wa hatua zilizo dhidi ya ubinaadamu za kuyatumia makundi ya kigaidi.

  • Matokeo hasi ya chokochoko za Marekani Asia Magharibi

    Matokeo hasi ya chokochoko za Marekani Asia Magharibi

    Jan 23, 2020 23:22

    Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa hatua na chokochoko za kijeshi zinazofanywa na Marekani katika eneo la Asia Magharibi, ndio chanzo cha machafuko ndani ya eneo hilo na ameongeza kuwa, uthibitisho wa mwisho wa jambo hilo ni kumuua kigaidi Luteni Qassem Soleimani katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Baghadad, Iraq.

  • Ugaidi, vikwazo na mauaji ya kigaidi, stratijia tatu za Magharibi dhidi ya kambi ya muqawama

    Ugaidi, vikwazo na mauaji ya kigaidi, stratijia tatu za Magharibi dhidi ya kambi ya muqawama

    Jan 19, 2020 07:27

    Wizara ya Fedha ya Uingereza katika hatua yake ya uhasama, imeliweka kikamilifu jina la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon katika orodha yake ya taasisi ambazo kwa mtazamo wa London ni za kigaidi.

  • Rais Rouhani wa Iran: Wamarekani wahitimishe hatua zao ghalati

    Rais Rouhani wa Iran: Wamarekani wahitimishe hatua zao ghalati

    Jan 10, 2020 08:33

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa anataraji kwamba Wamarekani watahitimisha hatua zao ghalati, lakini iwapo watatekeleza hatua nyingine iliyo dhidi ya maslahi ya Iran, basi watapata jibu kali mkabala.

  • Waasi wa Nigeria waua wanajeshi 20 na kufanya uharibifu mkubwa

    Waasi wa Nigeria waua wanajeshi 20 na kufanya uharibifu mkubwa

    Jan 09, 2020 04:33

    Askari wasiopungua 20 wa jeshi la Nigeria wameuawa na watu wengine karibu elfu moja wamelazimika kukimbia makazi yao baada ya waasi kushambulia mji mmoja ulioko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Muungano wa Marekani wahamisha makao yake makuu kutoka Iraq hadi Kuwait

    Muungano wa Marekani wahamisha makao yake makuu kutoka Iraq hadi Kuwait

    Jan 07, 2020 23:21

    Muungano eti wa kupambana na kundi la Daesh unaoongozwa na Marekani umehamisha makao yake makuu kutoka Iraq na kuyapeleka Kuwait kufuatia mauaji ya Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Naibu Kamanda wa kikosi cha kujitolea cha wananchi wa Iraq, al Hashdul Shaabi Abu Mahdi al Muhandes, na sisitizo la Iran la kulipiza kisasi mauaji hayo ya kigaidi yaliyofanywa na Marekani.

  • Wairaqi walaani vikali kuuawa Qassem Soleimani na Abu Mahdi

    Wairaqi walaani vikali kuuawa Qassem Soleimani na Abu Mahdi

    Jan 03, 2020 23:20

    Shakhasia mbali mbali wa kisiasa na kidini nchini Iraq wamelaani vikali hujuma ya kigaidi ya Mareknai ambayo imepelekea Meja Jenerali Qassem Suleimani na Naibu Mkuu wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq (Al Hashd al Shaabi) Abu Mahdi la Muhandis kuuawa shahidi.

  • Kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassim Solaimani; mfano wa wazi wa jinai za kivita za Marekani

    Kuuawa shahidi Meja Jenerali Qassim Solaimani; mfano wa wazi wa jinai za kivita za Marekani

    Jan 03, 2020 08:23

    Meja Jenerali Qassim Solaimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al Muhandes, Naibu Mkuu wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq cha al-Hashdul al-Shaabi, wameuawa shahidi usiku wa kuamkia Ijumaa ya leo katika shambulio la roketi lililofyatuliwa na helikopta ya Marekani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad mji mkuu wa Iraq.

  • Onyo kuhusu hatari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani

    Onyo kuhusu hatari ya kuenea ugaidi wa ndani nchini Marekani

    Dec 30, 2019 23:14

    Hata kama kufuatia mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani nchi hiyo ilijinadi kuwa kinara wa mapambano dhidi ya ugaidi duniani na kutekeleza mashambulizi kadhaa ya kibabe katika pembe tofauti za dunia kufuatia madai hayo ya uongo, lakini kuenea kwa vitendo vya utumiaji silaha nchini humo, kumewapelekea watawala wa nchi hiyo kutoa tahadhari kuhusiana na kuenea ugaidi katika nchi hiyo ya Magharibi.

  • Waislamu milioni 27 wameuawa katika 'vita dhidi ya ugaidi' vya Marekani

    Waislamu milioni 27 wameuawa katika 'vita dhidi ya ugaidi' vya Marekani

    Nov 22, 2019 10:38

    Msomi na mwanafikra mashuhuri wa Marekani amesema zaidi ya Waislamu milioni 27 wameuawa kutokana na vita vilivyoibuliwa na Marekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi, tangu baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001 hadi sasa.