Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Ebtekar: Misimamo ya kufurutu mpaka, ugaidi na vita ni tishio kwa wanawake Waislamu

    Ebtekar: Misimamo ya kufurutu mpaka, ugaidi na vita ni tishio kwa wanawake Waislamu

    May 03, 2018 10:54

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya wanawake na familia amesema misimamo ya kufurutu mpaka, ugaidi na vita vinatishia maisha ya wanawake Waislamu.

  • Zarif aonya kuhusu tishio la misimamo ya kufurutu ada Mashariki ya Kati

    Zarif aonya kuhusu tishio la misimamo ya kufurutu ada Mashariki ya Kati

    Apr 17, 2018 23:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusu tishio la misimamo mikali ya kufurutu ada katika eneo licha ya kuangamizwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.

  • Jeshi la Mali laua 'magaidi 14 wakitoroka jela'

    Jeshi la Mali laua 'magaidi 14 wakitoroka jela'

    Apr 07, 2018 03:12

    Jeshi la Mali limesema kuwa limeua wapiganaji 14 wa genge moja la kigaidi walipojaribu kutoroka jela.

  • Bahram Qassemi: Ugaidi unapaswa kung'olewa idiolojia na mizizi yake

    Bahram Qassemi: Ugaidi unapaswa kung'olewa idiolojia na mizizi yake

    Mar 25, 2018 06:25

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena ameonya kuwa, ugaidi ni tihio kwa jamii ya kimataifa, na kuna haja ya kukabiliana na jinamizi hilo toka kwenye mzizi yake.

  • Iran: Saudia haiwezi kuficha rekodi yake ya ugaidi kwa kuichafua Jamhuri ya Kiislamu

    Iran: Saudia haiwezi kuficha rekodi yake ya ugaidi kwa kuichafua Jamhuri ya Kiislamu

    Mar 20, 2018 12:30

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha vikali madai mapya yaliyotolewa na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia kwamba Tehran imewaficha wakuu wa magenge ya kigaidi na kusisitiza kuwa, Riyadh haiwezi kuficha wala kupotosha historia na rekodi yake ya kuunga mkono na kufadhili ugaidi, kwa kueneza urongo na propaganda dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Syria yaitaka UN kuchukua hatua dhidi ya waungaji mkono ugaidi

    Syria yaitaka UN kuchukua hatua dhidi ya waungaji mkono ugaidi

    Feb 22, 2018 00:59

    Serikali ya Syria imeuandikia barua Umoja wa Mataifa ikizungumzia ongezeko la mauaji ya kigaidi yanayofanywa dhidi ya raia wa Damascus na vitongoji vyake na kuutaka umoja huo kuchukua hatua dhidi ya nchi zinazoyasaidia na kuyafadhili makundi ya kigaidi.

  • Serikali ya Misri yamuweka mpinzani wa al Sisi katika orodha ya magaidi!

    Serikali ya Misri yamuweka mpinzani wa al Sisi katika orodha ya magaidi!

    Feb 20, 2018 23:42

    Serikali ya Misri imemuweka kiongozi wa chama cha upinzani cha "Misri Imara" na wanachama wengine 15 wa chama hicho katika orodha ya magaidi.

  • Undumakuwili wa Wamarekani kuhusu ugaidi; bahari ya damu Stoneman Douglas, ni ufyatuaji risasi au ni ugaidi?

    Undumakuwili wa Wamarekani kuhusu ugaidi; bahari ya damu Stoneman Douglas, ni ufyatuaji risasi au ni ugaidi?

    Feb 17, 2018 02:33

    The Anti-Defamation League ambayo ni taasisi ya kulinda haki za raia wa Marekani imesema kuwa, kijana katili aliyefanya mauaji ya kutisha katika shule ya Stoneman Douglas huko Parkland, Florida alikuwa mwanachama wa genge moja la Wazungu wenye misimamo mikali.

  • Haniyeh: Hatua ya Marekani ya kuliweka jina langu katika orodha nyeusi ni fakhari kwangu

    Haniyeh: Hatua ya Marekani ya kuliweka jina langu katika orodha nyeusi ni fakhari kwangu

    Feb 02, 2018 11:37

    Ismail Haniyeh, Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, uamuzi wa Marekani ya kuliweka jina lake katika orodha nyeusi, ni ishara ya fakhari kwake.

  • Makundi ya kitakfiri yahudumia malengo ya utawala wa Kizayuni

    Makundi ya kitakfiri yahudumia malengo ya utawala wa Kizayuni

    Jan 27, 2018 00:44

    Duru za habari zimefichua sura mpya na pana zaidi ya ushirikiano wa utawala wa Kizayuni wa Israel na makundi ya kitakfiri na kigaidi huko Syria na kutangaza kwamba, utawala huo umeunda kundi la kigaidi kwa ajili ya kuusaidia utawala huo katika maeneo unayoyakalia kwa mabavu ya Golan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS