-
Hassan Nasrullah: Inasikitisha kuona bado kuna nchi zinaendeleza uhusiano na Israel
Jan 20, 2018 01:12Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon sambamba na kuzitaka nchi zote za dunia kujiepusha kufanya uhusiano na utawala katili wa Israel, ameonyesha masikitiko kwamba bado kuna nchi zinaendeleza uhusiano na utawala huo.
-
Juhudi za Ulaya kuzidisha uingiliaji wa kijeshi barani Afrika
Jan 19, 2018 09:51Ikiwa ni katika mkondo wa kudumisha uingiliaji wa nchi za Magharibi barani Afrika, serikali za Italia na Uingereza zimeazimia kuimarisha uwepo wao wa kijeshi katika baadhi ya nchi za bara hilo.
-
Maulamaa wa Pakistan watoa fatua ya kuharamisha kujiripua
Jan 17, 2018 00:47Mamia ya maulamaa wa Kiislamu nchini Pakistan wametoa fatua ya kuharamisha mashambulizi ya kujitoa muhanga, katika hali ambayo nchi hiyo inaendelea kukabiliwa na hujuma za magenge ya kigaidi.
-
Larijani: Iran na Pakistan zimesimama kidete kukabiliana na matatizo ya ugaidi kwa busara
Jan 16, 2018 01:05Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Pakistan zikitumia busara na werevu zimeweza kusimama kidete na kukabiliana vyema na matatizo mbalimbali yanayosababishwa na ugaidi.
-
Uturuki yawaonya raia wake dhidi ya kusafiri Marekani, kisa usalama
Jan 13, 2018 00:15Uturuki imewapa tahadhari raia wake dhidi ya kusafiri nchini Marekani kutokana na kile inachokitaja kuwa sababu za kiusalama.
-
Sheria ya "adhabu ya kifo" dhidi ya Wapalestina walioshiriki katika operesheni dhidi ya Israel; ugaidi wa kiserikali
Jan 06, 2018 04:12Hatua ya Bunge la Israel ya kupasisha sheria ya "adhabu ya kifo" dhidi ya Wapalestina walioshiriki katika mashambulizi dhidi ya malengo ya Israel ambayo yamepelekea kuuawa Wazayuni, imekabiliwa na upinzani mkali wa maafisa wa Palestina na Umoja wa Ulaya.
-
Makumi ya Wanyarwanda wafunguliwa mashitaka ya ugaidi Uganda
Dec 29, 2017 04:35Habari kutoka Kampala, mji mkuu wa Uganda zinasema raia 45 wa Rwanda wanaozuiliwa katika kituo cha polisi cha Nalufenya wilayani Jinja wamefunguliwa mashitaka ya ugaidi.
-
Larijani: Vita athirifu dhidi ya ugaidi vinategemea umoja wa nchi za eneo
Dec 25, 2017 11:23Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vita athirifu dhidi ya ugaidi vinategemea umoja na mshikamano wa nchi za eneo katika suala hilo.
-
Dunia yaafiki pendekezo la Iran la kupambana na misimamo mikali
Dec 21, 2017 07:40Azimio lililopendekezwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu 'Dunia Dhidi ya Machafuko na Misimamo Mikali' liliidhinishwa kwa mara ya tatu na kwa kauli moja na nchi zote za dunia Jumatano katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Russia yaitahadharisha Marekani kuhusu kuwapatia silaha mpya magaidi huko Syria
Dec 17, 2017 11:04Russia imeitahadharisha Marekani kuhusu taathira za kuwapatia silaha mpya magaidi waliopo Syria.